Hahahhhaahahaaa uwiiiiiiYaani tulikuwa kwenye malezi mara wenzetu wamehamia kwenye Vicoba duh kinamama noma
ahahaaa tunalala tunaota vicoba mkuuYaani tulikuwa kwenye malezi mara wenzetu wamehamia kwenye Vicoba duh kinamama noma
shosti upo kikoba gani hapa mjini wewe?Hahahhhaahahaaa uwiiiiii
au tuanzishe chetuMmhh bado sijaunga ngoja nifanye mchakato
[emoji2] iseeeMuhimu ukubali kujifunza. Tena ukijifunza ukubwani unakuwa huru zaidi kujaribu vitu mbalimbali.
wewe jinsia gani?
Halafu dada akipika chakula kizuri kuliko mama house,ukimsifia tu kesho anaondolewa fasta!!!!!!!!!!!Wote kwa pamoja... wife kila awapo na wasaa lazima anionjeshe ladha adhimu ya mikono yake... Good thing anajua akinipikia hata asiponiambia lazima apate sifa zake kwani najua hata kwa harufu.. Yupi mwanamke asiyependa sifa ya mumewe???? Unalo jibu miss.. Mabinti bado wadogo ila sina hofu na baadae yao kwani mimi mwenyewe fundi hivyo wasipoiga kwa mama watanikuta mimi japo mara moja moja...
Sent using Jamii Forums mobile app
Miss Natufa , ukishamaliza ukishapata unachotafuta utagundua kuwa labda zamani kulikuwa hakunakwa leo napenda kuzungumzia swala la kizazi cha leo kukosa maadili ,sio kwamba ni kuiga ni jinsi watoto wanavolelewa kwenye familia watoto wa siku hizi wanafanyiwa kila kitu na beki tatu,haishangazi mtoto yupo chuo kikuu hata kupika hajui kila kitu anafanya beki tatu.
Nakumbuka mimi nilianza kupika nikiwa darasa la pili,wakati huo nilikuwa naenda shuleni saa tano ,nilikuwa na miaka nane nilikuwa mchana kabla ya kuondoka lazima nipike ugali ,nioshe vyombo,nifagie nje ,nideki nyumba jmosi nayo tunafua nguo za kushindia zile
Nzuri za kanisani au kwendea mtoko,hosptal alikuwa anafua mama au dada wakubwa.
kwa sasa hivi mtoto wa miaka nane hata chakula analishwa atii.kuna mtoto wa sister niliachwa nae sister alienda kusoma alikuwa darasa la tatu tena genious tu class anakuwa wakwanza ila ilikuwa inabidi nimuogeshe maana hata kuoga ilikuwa shida.
watoto wa siku hizi wakubwa tu washavunja na ungo hata kupika chai tu ni kazi hawajui maana kwao kila kitu ni beki tatu.
Ubaya ni kwamba kuna vitu ni vigumu sana kujifunza ukubwani mojawapo ni mapishi japo kuna shule za mapishi nyingi tu ila kama hujazoea jiko hata ujifunze vipi hutoweza kupika chakula kizuri.
Ukitaka ujue mapishi lazima uwe muhenga wa jikoni.kuna vitrick vingi sana ambavo unajifunza kwa uzoefu na sio darasani tuanze kuwatrain watoto wetu ni kwa manufaa yao
Maelewano mazuri ya wazazihivi jamani kwanini zamani ilikuwa mtoto akila kwa mtu nyumbani anachapwa sasa hivi mtoto anaambiwa nenda ukale kwa mama flani anapika wali si unaupenda eeh,ni uvivu wa wazazi kupika au ni uchumi kubana?
Mtt wa kishuaaa eehh...Elimu haina mwisho. Mimi binafsi nilikuwa sifanyi kazi yoyote nyumbani, nimetoka nyumbani sijui kupika wala kufua, ila nilijifunza mbele kwa mbele sasa hivi unaweza kufikiri nimesomea upishi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nakumbuka, tulikuwa tunawahi kuoga mapema bila shuruti hahahaahahaha, halafu hutamani wenzako wacheze sana kwenu siku hiyo, hahahahahahahahaahahah. Pia ilikuwa kama mama akiagiza aletewe kitu tunakimbizana kuleta tofauti na siku zingine hadi mtu atajwe jina kuwa Fulani niletee mwiko.....