Kuna makaka mahandsomeeee

Dear hamna picha,kabaki nayo Jestina kichwani mwake 'she has been smitten' akisha shuka kutoka huko mawinguni labda atakumbuka ana deni la picha hapa.
Ah, asante kwa kunielewesha... Basi nasubiri huku nikitazama kwanza picha yako hadi utakapo pikuliwa na huyo mngine.
 
Ah, asante kwa kunielewesha... Basi nasubiri huku nikitazama kwanza picha yako hadi utakapo pikuliwa na huyo mngine.
Hahaha! we mrembo sasa mchokozi mbona sijaweka picha ? nilishaahidi hapa siku nikiweka picha itakuwa yangu kweli na jina pia nitabadili na kuweka walilonipa wazazi lol!
 
Ngoja nikalale...hamna mada nzuri night hii...huyu dada sijui anamaanisha nini, au ume.....?
 
kama rejao mtafute utahamia mwenyewe
 
nafikiri huu mjadala ni kwa wadada ndio utafaa,...ngoja mm nisepe kimpango wangu,...maake mmmmmh
 
leo lazima umepigwa fimbo za kutosha! Asanteh kwa kunisifia bado Rose1980
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…