Story ya hawa wawili tunayo ya upande mmoja (Mungu) tukija kupata utetezi wa upande wa pili (shetani) ndipo patachimbika😁Mimi pia kuna Muda huwa nawaza kwa nini Mungu asimuue au ambadirishe Shetani awe na tabia kama atakazo Mungu na tuishi kwa amani, kwa nini anamuacha Shetani anatamba hivyo?
Kumbukumbu la Torati 8 (Biblia Takatifu)Kuna sababu zozote za maana mungu kuwapa majaribu au mitihani wanadamu aliowaumba mwenyewe na anaojua mpaka mwisho wao ?
Kwa nini mungu amjaribu binadamu?
Kwa nini anaruhusu shetani awatese binadamu akiwajaribu ?
Nime update jibu la uzi wako rudi kwenye comment yangu ya awaliHawezi kujua bila kumjaribu ?