Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,596
Watu wengi huwa wanashindwa kupambana kabisa na hii hali,,huishia kuharibu kazi,masomo n.kAsante, tutambue tu kuna watu wanakuja kwneye maisha yetu kama baraka wengine huja kama mafundisho. Ukianguka unanyanyuka unajifuta vumbi unaendelea mbele, yeye si wa kwanza na wala hawezi kua wa mwisho,
Kubwa na cha msingi ni kujua hakua riziki yako pamoja na kujitoa kwake kwa hali na mali, utapata atakayejua thamani ya machozi yako na kukupa upendo mara mbili ya ulioutoa
Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee kubali hali, lia unavyoweza hakikisha ukitoka hapo hulii tena then move on with your life.
Tatizo n moja tu kuukabili ukweli kwamba mmeachana basi.Watu wengi huwa wanashindwa kupambana kabisa na hii hali,,huishia kuharibu kazi,masomo n.k
Kweli kabisaTatizo n moja tu kuukabili ukweli kwamba mmeachana basi.
Yan unapokubali hali unakua umepiga hatua moja mbele ya kua mtu mpya mwenye matumaini mapya
Pana kaugumu lakini unavaa ununda tuIngekua kuacha ni rahisi hivyo dunia ingekua nzuri
Asante, tutambue tu kuna watu wanakuja kwneye maisha yetu kama baraka wengine huja kama mafundisho. Ukianguka unanyanyuka unajifuta vumbi unaendelea mbele, yeye si wa kwanza na wala hawezi kua wa mwisho,
Kubwa na cha msingi ni kujua hakua riziki yako pamoja na kujitoa kwake kwa hali na mali, utapata atakayejua thamani ya machozi yako na kukupa upendo mara mbili ya ulioutoa
Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee kubali hali, lia unavyoweza hakikisha ukitoka hapo hulii tena then move on with your life.
Hilo ndio lamsingiNi kukubaliana tu na hali na kusonga mbele!
Like??
Eeeh tuendeleeni tu kutiana moyoPana kaugumu lakini unavaa ununda tu
it take time,,lakin ukipata replacement yake iliyokamilika vizuri aaah mambo yanakua mazuri sanaEeeh tuendeleeni tu kutiana moyo
Kupata replacement nako sio rahisi.it take time,,lakin ukipata replacement yake iliyokamilika vizuri aaah mambo yanakua mazuri sana
Ndo hivyoo. Wale tunaojua kupenda kweli hatuwezi kureplace mtu miezi mitatu sijui sita after break uptupe ushuhuda madame
Ukireplace faster hivyo basi alikua pembeni muda woteNdo hivyoo. Wale tunaojua kupenda kweli hatuwezi kureplace mtu miezi mitatu sijui sita after break up