Kuna mabinti warembo, alafu kuna Rahma Mwita

Kuna mabinti warembo, alafu kuna Rahma Mwita

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,626
Huyu binti nimetokea kumzimia, ni mwanaharakati kijana, ni mzuri hasa,

Mtoto wa kikurya, Rahma Mwita a.k.a Rahuuu, nimekufatilia kwa muda mrefu huko twitani nikagundua jimbo lipo wazi, kwa ruhusa yako naomba nitangaze nia, nakupenda sana @Rahuuu
IMG_20181225_004259.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana fito, halafu wadada wengi ni slay queen kwelikweli.

Wanapenda Hela, halafu ni wazuri sana wa kufake life.
 
Huyu mzuri eeee... Kweli tunatofautiana sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom