mwemweremwemwere
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 605
- 681
Ni kweli mkuu. Hata mi kaniuz.kama ni biashara ungeweka na contacts kbsa
Kwanza anawekaje picha imeishia kwene mabega?
Ni kweli mkuu. Hata mi kaniuz.kama ni biashara ungeweka na contacts kbsa
Unataka ugundue nini mkuuTupia aliyosimama
Huyu binti nimetokea kumzimia, ni mwanaharakati kijana, ni mzuri hasa,
Mtoto wa kikurya, Rahma Mwita a.k.a Rahuuu, nimekufatilia kwa muda mrefu huko twitani nikagundua jimbo lipo wazi, kwa ruhusa yako naomba nitangaze nia, nakupenda sana @RahuuuView attachment 981073
Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli ZOBA...Nipe kizizi