kaulize kwa nini mwanaume hafanyiwi sendoff?au kwa nini hatolewi mahari?na kwa nini watoto wenu hawatumii jina la ubini wa mwanamke??
Wanajamvi,
hivi kuna maana yeyote kwa mwanamke kubadili jina lake la ubini na kuitwa kwa jina la ubini wa mume??
je kwakufaya hivyo inamaana kwamba wzazi wa watoto wa kike hawana sifa waipatayo kwa mafanikio ya watoto wao??
sijui kama nimeeleweka lkn kimfano iko hivi mimi gfsonwin nilizaliwa nikaitwa gfsonwin Massawe, sasa leo nimeolewa na Kaizer niitwe gfsonwin Kaizer. je inamaana yyte kuitwa hivyo?? na kama ndio je huko si kuwanyima wazazi wa mtoto wa kike haki yao ya kumili huyo mtoto??
maana? ipo......
wewe sasa unakuwa mke wa ........, kwa hiyo unavyobadili jina unatoka jina la usichana wako na kuitwa mke wa fulani.
na ndo maana kama unatumia jina la mume, officially inatakiwa liazwe na Mrs. na siyo kuanza jina tu.
Ila kwa upande wangu mimi naona ni ngumu kidogo kubadili jina la ukoo. kutokana na mazingira ya kazi na kusoma, sawa kuna mambo ya kisheria yanazingatiwa lakini kuna kausumbufu fulani kanaendelea.
Jana nilimsoma staa mmoja alikuwa anatangaza sasa ameshabadili surname yake na kurudia ya usichana wake na yupo tayari kuolewa na mume mwingine, lol! hapo sasa. ndoa za siku hizi ni za siku 3, umebadilisha kila kitu chako unaitwa Mrs fulani, kesho mmeachana unahangaika tena mahakamani kurudisha jina lako na kupata jina la mume mwingine...... inasumbua sana.
Mimi nilikaa na mume wangu tukaongea na hatukuona sababu ya mimi kubadilisha jina. Ingawa watu wooote hata ofisini wananiita kwa jina la Mrs fulani, lakini officially natumia Ms fulani. mambo yanaenda, na najijua kuwa mimi ni mke wa fulani.
Wanajamvi,
hivi kuna maana yeyote kwa mwanamke kubadili jina lake la ubini na kuitwa kwa jina la ubini wa mume??
je kwakufaya hivyo inamaana kwamba wzazi wa watoto wa kike hawana sifa waipatayo kwa mafanikio ya watoto wao??
sijui kama nimeeleweka lkn kimfano iko hivi mimi gfsonwin nilizaliwa nikaitwa gfsonwin Massawe, sasa leo nimeolewa na Kaizer niitwe gfsonwin Kaizer. je inamaana yyte kuitwa hivyo?? na kama ndio je huko si kuwanyima wazazi wa mtoto wa kike haki yao ya kumili huyo mtoto??
Hata kama ni kutaka haki sawa sasa naona mnataka kuvuka mipaka kabisa!!!!
Hapo sasa dada gfsonwin naona mnataka kufanya watu wote waonekane ni ma-liberal.
Mfano ukute mtu anaitwa Juma Halima Mwanahamisi undhani litakuwa linaleta maana au mtu huyo ataoneana ndivyo sivyo?
Muda mwibgine tuache tu mambo kama yalivyokuwa, ninyi kutoka ubavuni kwetu isiwe sababu.
ok sasa nimekuelewa ila naona kama bado kuna ugumu sana ambao unatulazimisha indirect kuitwa kwa ubini wa mume.Katika haki za binadamu unauhuru wa kutumia jina unalolipenda wewe, hata kama umeolewa na hutaki kutumia ubin wa mume wako. Kwa upande mwingine, ukiwa umeolewa na mume let say anaitwa 'Mr Kinyago', wewe kuwa Mrs Kinyago na watoto wenu Ally Kinyago, Beatrice Kinyago, Maajabu Kinyago ni inarahisisha kuiaddress familia ya Mr Kinyago. Kwa mfano tu mnaomba visa kama familia ni rahisi familia kuwa addressed.
Waganda hawatumii ubin wa baba, inatokea watoto wa famili moja lakini kila mtoto anaubin wake. Rafiki yangu mganda nilisoma nae UK, alitaka kumwalika kaka yake aje kumtembelea, alikataliwa visa na ubalozi wa UK Kampla kwakuw hawakuamini kuwa hawa watu ni ndugu. Alipewa baada ya kuapeal.
Sijatoka nje ya mada lakini ninaelezea in a different angle.
hapo kwenye RED siyo lazima ubadili ubini.ukweli ni kwamba kwa waajiriwa kubadili ubini naona kama ni njia ya kupata stahili zako tu like hela za likizo na uhamisho nk. jambo ambalo nafikiri hata bila kubadili jina lako unaweza kupatiwa so long as una evidence i.e certificates
sasa linakuja swla pale ambapo prestige imeongezeka mzazi wako ama mume yupi utakaye mpa priority?? mfano leo hii FP ni Ms. lakini kesho keshokutwa umekuw Dr... je utaitwa kwa ubini upi?? kuna mdada mmoja hapa ofsn kwetu anapata wakati mgumu sana hadi nikamjibu ajiite jina tofauti kabisa.
sijui balozi nyingine zinaangalia nini, lakini sijawahi pata hiyo shida.Katika haki za binadamu unauhuru wa kutumia jina unalolipenda wewe, hata kama umeolewa na hutaki kutumia ubin wa mume wako. Kwa upande mwingine, ukiwa umeolewa na mume let say anaitwa 'Mr Kinyago', wewe kuwa Mrs Kinyago na watoto wenu Ally Kinyago, Beatrice Kinyago, Maajabu Kinyago ni inarahisisha kuiaddress familia ya Mr Kinyago. Kwa mfano tu mnaomba visa kama familia ni rahisi familia kuwa addressed.
Waganda hawatumii ubin wa baba, inatokea watoto wa famili moja lakini kila mtoto anaubin wake. Rafiki yangu mganda nilisoma nae UK, alitaka kumwalika kaka yake aje kumtembelea, alikataliwa visa na ubalozi wa UK Kampla kwakuw hawakuamini kuwa hawa watu ni ndugu. Alipewa baada ya kuapeal.
Sijatoka nje ya mada lakini ninaelezea in a different angle.
siyo lazima, nisome post # 15ok sasa nimekuelewa ila naona kama bado kuna ugumu sana ambao unatulazimisha indirect kuitwa kwa ubini wa mume.
turudi hapo hapo ninamaanisha kwamba mimi gfsonwin Massawe nikitaka kupata passport nikamtembelee Kaizer mume wangu lazima niwe ninasomeka kwamba ni Mrs gfsonwin Kaizer??
kwanini vyeti vya ndoa visisimame kuhakiki hilo??
hapo kwenye RED siyo lazima ubadili ubini.
unachotakiwa kufanya ni kupeleka cheti cha ndoa na vyeti vya watoto kwa ajili ya kupata stahili za watoto.
mimi sijabadili ubini ila cheti cha ndoa nilipeleka kwa hiyo huwa napata stahili za mume wangu kila likizo.
prestige? yaani wajibebe kwa mgongo wangu? lol!
kama nilivyosema tangu mwanzo tulikubaliana nitabaki na jina la ubini wangu, kiofisi. ingawa hata sasa ukifika kwa ofisi yangu ukaniulizia kwa ubini wowote (wangu au wa mume wangu) unanipata. kwa watu napenda kujitambulisha naitwa fulani binti fulani, au mrs fulani, kwa hiyo utakaloona linakupendeza kuniita I am fine. Ila kwenye ma-document ndo utakuta ubini wa babangu
Huwezi ukaitwa mrs massawe, sio? Utaitwa mrs kaizer. Kwa kiswahili mama kaizer... Automatically utajikuta mwenyewe ukijitambulisha kama mrs kaizer, na ukiambiwa taja mawili, utajikuta unasema gfsonwin kaizer... Hii inaapply zaidi kwenye utambulisho usio rasmi, lakini vyeti vyako, kazini kwako na sehemu nyingine rasmi utaendelea kuitwa dk massawe...lolWanajamvi,
hivi kuna maana yeyote kwa mwanamke kubadili jina lake la ubini na kuitwa kwa jina la ubini wa mume??
je kwakufaya hivyo inamaana kwamba wzazi wa watoto wa kike hawana sifa waipatayo kwa mafanikio ya watoto wao??
sijui kama nimeeleweka lkn kimfano iko hivi mimi gfsonwin nilizaliwa nikaitwa gfsonwin Massawe, sasa leo nimeolewa na Kaizer niitwe gfsonwin Kaizer. je inamaana yyte kuitwa hivyo?? na kama ndio je huko si kuwanyima wazazi wa mtoto wa kike haki yao ya kumili huyo mtoto??
walikuonea, kwani hukupeleka cheti cha ndoa?umenikumbusha miaka ile naanza kazi, nilijiita kwa ubini wa baba sasa ikaja wakati wa kulipwa subsistance allowance nikapata shida sana kwamba sijaolewa na kama ndio basi niitwe kwa jina mume........... aisee niligoma nilichofanya nilijiita majina yote yaani majina yangu mawili incluiding la ubini nilikozalika na la ubini wa mume sasa shuhudia hiyo mixed grill hapo utachoka lkn maisha yanenda
nakubali kuitwa Mrs fulan lakini siyo fulani binti ubini wa mume lol!
Point of correction: ataitwa mke wa Kaizer, siyo mama Kaizer..... Kaizer ana mamake ambaye siyo GFsHuwezi ukaitwa mrs massawe, sio? Utaitwa mrs kaizer. Kwa kiswahili mama kaizer... Automatically utajikuta mwenyewe ukijitambulisha kama mrs kaizer, na ukiambiwa taja mawili, utajikuta unasema gfsonwin kaizer... Hii inaapply zaidi kwenye utambulisho usio rasmi, lakini vyeti vyako, kazini kwako na sehemu nyingine rasmi utaendelea kuitwa dk massawe...lol