Kuna maana yeyote kubadili jina kwa mwanamke??

what click in mind ukiachana na huyo mume na jina umebadili inakuwaje
though kila anaeingia ktk marriage mind huwa daima na milele.....
si ikotokea unexpected inakuwaje!!!!!!!!

my view is unaweza kubaki na jina lako gfsonwin Massawe, lakin
ukawa unaitwa Mrs Kaizer will be much better na utaonekana this
person yuko ktk himaya ya shemeji Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Mantiki!?? Kweli dada unaulizia mantiki!??

Au na wewe usasa umekuingia?

Paulo alipokuwa anaandika barua zake kuna sehemu alisema, "...lakini kwa sababu ya zinaa, ni heri... "

Na mimi leo ninasema, Laini kwa sababu ya tabia za binadamu wa sasa, ni vyema binti asibadili ubini wake. La sivyo kubadili ubini hakukuwa na maana ya kumtawala mwanamke wala mfumo dume. Ni kuonesha umoja..familia ya! Inapendeza jamani...acheni tu!

Mimi mwenyewe ningependa iwe hivyo kwangu nitakapooa. Msianze kuuliza mbona mume asichukue ubini wa mke and all blah blah..halafu bado mnajifanya mnasoma Biblia ambayo inasema Mume atakuwa kichwa cha familia! Iweje kichwa kiwe cha Mentor ilhali shingo ni ya Mtambuzi?

Hizo sifa za mzazi wako atazipata mbinguni!

dah ! mdogo wangu wataka kuniambia nikiitwa Dr. Kaizer sasa hivi utaridhika?? hasa ukikumbuka tulikotoka kwann basi baba yetu asiambulie hiyo prestige hata kama haina faida kwake??
 
Last edited by a moderator:
kwangu mie sio kuachana tu, kiukweli mie sijawahi kufikiria kubadili jina kabisa, na ni kitu ambacho tunakiona cha kawaida kabisaaa, mie ofisini wananiita jina langu au kama vipi wachache wamenizoea mama fulani, vinginevyo hiyo mrs ntaitwa ofisini kwa msukuma huko.
Nyamayao ulifikiria mbali sana mwaya.
mie sijui nilikuwa wapi enzi hizo.
 
Last edited by a moderator:
^^
Nadhani kusudio la kufanya hivi (zama zile) ilikuwa ni kutoa utambulisho na njia ya kulinda uhusiano kuwa,huyu yuko possessed.
Sijui zama hizi ambapo pete,harakati za usawa n.k kama bado kuna sababu za hili.Maana nimewahi kuona ndoa moja ambayo wawili walishare bank account kwa jina la mume (wote walikuwa watumishi) kasheshe ilikuja ndoa ilipovunjika na kila mmoja kurudia asili yake.
^^
 
sasa Tuko mfano mimi hubby aliniambia wazi wazi kwamba mimi ndio ninakumili kwasasa........wakati wa baba yako umepita utabaki wewe na mimi kuwahudumia wazazi wako lkn umiliki wako uko kwangu. alinibadilisha jina kabisa akaniita gfsonwin Kaizer nikamwambia hapana bestie kama ndivyo basi uwe fair tufanye mixed grill basi nikajiita gfsonwin Massawe Kaizer sasa bana status inapanda najikuta jina la kwanza silitumii ubini ndio unaotumika na hapa naona kabisaa kwamba prestige ya baba yangu imefunikwa na mtu ambaye hata kunijua hakunijua...........naskia kujibadili tena wallah!

kuna siku nilienda mahali kwa kuagiziwa na msukuma, nikampa huyo mtu vitambulisho vyangu, kwanza akanishangaa we mke wa fulani kweli? nikamwambia ndio akaniuliza sasa mbona unaitwa hivi? nikamwambia ndio majina yangu, akaanza mahubiri hapo kwamba sitakiwi sijui kuitwa hivyo tena kwasasa nina baba ambae ni mume na" inaleta heshima" mke kuwa na jina la mumewe, kama sio shida ilinipeleka pale ningemshushua yule mzee bahati yake tu, eti inaleta "heshima" mxsiiii.
 
what click in mind ukiachana na huyo mume na jina umebadili inakuwaje
though kila anaeingia ktk marriage mind huwa daima na milele.....
si ikotokea unexpected inakuwaje!!!!!!!!

my view is unaweza kubaki na jina lako gfsonwin Massawe, lakin
ukawa unaitwa Mrs Kaizer will be much better na utaonekana this
person yuko ktk himaya ya shemeji Kaizer
nikwambe kitu mama yangu aliwah kutelekezwa na mume baada ya kuish kwa miaka 15,
kilichotokea jina lake lilibaki kuwa vilevile Selina John Massawe ingawa Massawe ni jina la baba na John ni jina la baba yake na mama.
siku dingi anarudi home miaka 17baadae akiwa ni mzee hana mbele hana nyuma, maMa alimpokea na he didn't last longer alifariki na mama kipindi chote ambacho alikuwa ameachwa aliendelea kutumia jina hilo na hata baada ya dingi kufariki still anatumia jina hilo.
sometimes binadamu hufika mwisho na kusema acha hali iwe kama ilivyo.........at least i believe in this statement.
 
sasa wataa kusema sendoff ndio sababu au kutolewa mahari?? je inamaanisha india ambako wanawake ndio hutoa mhari basi wanaume waitwe kwa ubini wa kike??lkn kama nilishaitwa kwa ubini wa baba yangu why shld i change now eti kisa ni mke wa mtu??
kila koo zina taratibu zake, ikiwa ni pamoja na India ambao tamaduni zao ni tofautina za kwetu! Kwetu hata vitabu vya dini vinasema mwanamke/mwanaume, ataachana na wazazi wake na kuambatana na mume/mke wake. Nionavyo mimi ni sawa kwa mwanamke kubadilisha jina la ubin mara aolewapo! Maana yeye(mke) si mali ya wazazi tena baada ya kuolewa!!!
 
sasa Tuko mfano mimi hubby aliniambia wazi wazi kwamba mimi ndio ninakumili kwasasa........wakati wa baba yako umepita utabaki wewe na mimi kuwahudumia wazazi wako lkn umiliki wako uko kwangu. alinibadilisha jina kabisa akaniita gfsonwin Kaizer nikamwambia hapana bestie kama ndivyo basi uwe fair tufanye mixed grill basi nikajiita gfsonwin Massawe Kaizer sasa bana status inapanda najikuta jina la kwanza silitumii ubini ndio unaotumika na hapa naona kabisaa kwamba prestige ya baba yangu imefunikwa na mtu ambaye hata kunijua hakunijua...........naskia kujibadili tena wallah!

Inawezekana alikusoma kuwa ulikuwa unadumisha u-Masawe mno hata mbele yake. Maana hata mimi mwanzoni kuna wakati unakuta niko na waifu, akiitambulisha (sehemu ambazo sio rasmi, kwa mfano kwenye kukata tiketi ya basi), anatumia ya kwake yote. Baadae ilibidi nimtichi lesoni, sio kwa kumwambia bali ikiwa niko naye akatakiwa kutaja jina, mi narukia fasta kumsaidia kutaja... so and so "Tuko"... Baadae akachanganya na zake akagundua napenda hivyo, na akawa anafanya hivyo...lol
 
kuna siku nilienda mahali kwa kuagiziwa na msukuma, nikampa huyo mtu vitambulisho vyangu, kwanza akanishangaa we mke wa fulani kweli? nikamwambia ndio akaniuliza sasa mbona unaitwa hivi? nikamwambia ndio majina yangu, akaanza mahubiri hapo kwamba sitakiwi sijui kuitwa hivyo tena kwasasa nina baba ambae ni mume na" inaleta heshima" mke kuwa na jina la mumewe, kama sio shida ilinipeleka pale ningemshushua yule mzee bahati yake tu, eti inaleta "heshima" mxsiiii.
inaleta heshima?? nafikiri wazazi wetu walikuwa bado hawajafunguka akili kidogo.
to me nasema heshima yangu anatakiwa aipate kwanza baba kabla ya mume.
 
Inawezekana alikusoma kuwa ulikuwa unadumisha u-Masawe mno hata mbele yake. Maana hata mimi mwanzoni kuna wakati unakuta niko na waifu, akiitambulisha (sehemu ambazo sio rasmi, kwa mfano kwenye kukata tiketi ya basi), anatumia ya kwake yote. Baadae ilibidi nimtichi lesoni, sio kwa kumwambia bali ikiwa niko naye akatakiwa kutaja jina, mi narukia fasta kumsaidia kutaja... so and so "Tuko"... Baadae akachanganya na zake akagundua napenda hivyo, na akawa anafanya hivyo...lol
sasa mjue kama mnatulazimisha tuitwe kwa ubini wenu basi na wanenu wa kike wataitwa kwa ubini wa waume zao hapo ndipo utakapotamani wabaki na jina lako.
 
Nyamayao ulifikiria mbali sana mwaya.
mie sijui nilikuwa wapi enzi hizo.

naomba nikuulize kama hutajali, ni kitu gani kinakufanya kama ujutie kwasasa? mie naona sawa tu, kama mliamua kubadili poa kama kuna ambao hawakubadili kama mie na FP naona poa tu, ni ishu za makubaliano baina yenu tu.
 
Duh... mbona hii ni ngumu kumesa dada gfsonwin...

Mfano mie charminglady nina kama certificate 12 na vitambulisho 6 na kila certificate na hivyo vitambulisho vimeandika Charminglady Dagaa Samaki, siku nikiolewa nitawezaje kubadili hivyo vyeti na vitambulisho??

Kuna issue mume kutangulia kufariki dunia, sasa je ukiwa umeshabadili jina na kuitwa ubini wa mume atakapokuwa amefariki ndo utatafuta kubadili ubini tena ili uwe huru kuolewa na mume mwingine??

Nahisi nitaendelea kutumia ubini wa baba yangu mpaka kufa, isipokuwa kwa ninavyoona kwa wengine ambao hawajabadili ni kuwa waandika hivi; Asha Juma Mapunda, ikimaanisha Juma ndio jina la baba yake na Mapunda ndio jina la mmewe.

Vipi GRACA MACHEL alivyoolewa na NELSON MANDELA?
 
hivi humu jf mbona kama manamake yote yameolewa?

hakuna manungayembe? aka magumegume? humu jf

nishagundua wengine hapatufai. bora turudi fb
 
kabisaaa, na msukuma walaaa hajali hilo kabisa, kwanza sikumbuki kama alishawahi kuliongelea mie kubadili jina, Lol

mie ukiskia kwenye vikao vya ndugu, et al wataita mama Kaizer huwa nashindwa kuvumilia bila kucomment.
kuna siku nilimwambia mtu yaani mie nimezaa zee zima hili?? eti yuko hii ndio heshima yenyewe wewe unaonaje kama tukikuita jina lako?? nikasema mbona ni poa tu??
 
Last edited by a moderator:
naomba nikuulize kama hutajali, ni kitu gani kinakufanya kama ujutie kwasasa? mie naona sawa tu, kama mliamua kubadili poa kama kuna ambao hawakubadili kama mie na FP naona poa tu, ni ishu za makubaliano baina yenu tu.

kwasasa hivi wangu naona prestige yote inakwenda kwa hubby yaani as if kanizaa na kunitunza mweeh!
binafsi siyo kwamba inanikera la hasha ila tu nimeona nipate na insight za wengine wanaonaje hili swala.

niliona raha kuitwa hivyo lakn sasa naona kama baba yngu ananyanganywa haki zote juu yangu lol!
 
Inajenga heshima fulani... hasa mtu anapotaka kukuita directly

kuna shoga yangu mmoja siku moja mumewe alimuuliza hivi wee fulan lini utabadili jina lako uitwe kwa ubini wangu?? mkewe akamjibau siku mume wangu utakapo kuwa rais ama hata mbunge, lakin kwasasa bado sana yaani tulicheka hadi basi.
 
hivi humu jf mbona kama manamake yote yameolewa?

hakuna manungayembe? aka magumegume? humu jf

nishagundua wengine hapatufai. bora turudi fb
hivi hapo red ni umekosea kuandika ama ulitaka kututusi??
wewe ulikuja humu kutafuta singles??
 
Back
Top Bottom