Kuna maana yeyote kubadili jina kwa mwanamke??

haina maana ... na wifey wangu sitokuja kumruhusu kubadili jina
 
Na hivi kwa nini wanawake hutumia majina ya ubini ya baba zao? Na kwa nini watu wengi (kama siyo wote) majina yao ya ubini huwa ni ya kiume?

Kwa nini mwanamke asitumie majina yote ya kike kama Upendo Hawa au Khadija Asha Salma?
Mnaanza uchokozi tukianza kufunguka muone tunakandamiza Wanawake kwa mfumo dume. Wayahudi wanawake kwao hawahesabiwi.

Mwanamke ni msaidizi wa Mwanaume tu na si vinginevyo, haya mengine tunayoyaendekeza leo haukuwa mpango wa Mungu, ndio mtaendelea kulalamika kuzinguliwa na Wanawake mpaka mwisho wa Dunia na mmeona haitoshi sasa mna program yenu mnaiita 50 kwa 50 hii ni kufuru kwa mwenyezimungu.
 
sasa wataa kusema sendoff ndio sababu au kutolewa mahari?? je inamaanisha india ambako wanawake ndio hutoa mhari basi wanaume waitwe kwa ubini wa kike??
lkn kama nilishaitwa kwa ubini wa baba yangu why shld i change now eti kisa ni mke wa mtu??
kwa kawaida nyie wanawake mnapenda kuitwa majina ya waume zenu. kwa mfano mi hapa ofcn kwangu kuna boss mmoja amesoma hadi ngazi ya phd lakini ana tumia jina la mme wake kwamba anaona fahari kutumia jina la mwanaume na si jina la baba yake aliye mzaa shame on her
 
Mnaanza uchokozi tukianza kufunguka muone tunakandamiza Wanawake kwa mfumo dume. Wayahudi wanawake kwao hawahesabiwi.

Mwanamke ni msaidizi wa Mwanaume tu na si vinginevyo, haya mengine tunayoyaendekeza leo haukuwa mpango wa Mungu, ndio mtaendelea kulalamika kuzinguliwa na Wanawake mpaka mwisho wa Dunia na mmeona haitoshi sasa mna program yenu mnaiita 50 kwa 50 hii ni kufuru kwa mwenyezimungu.

Kama unasema hivyo wapo pia wanaosema kwamba Mwafrika (mtu mweusi) amezaliwa kuwa Mtumwa tu na si vinginevyo, tena wanatumia mpaka Kurani na Biblia kama wewe ulivyotumia kuhalalisha kauli zao, na ndio maana mpaka leo Mtu mweusi anaitwa Abdi Uarabuni maana yake Mtumwa na Wazungu wanatuita Niga maana yake inajulikana!

Unasema ni mpango wa Mungu Wanawake kudharauliwa, sasa pia Marekani mpaka Miaka ya 50 Watu weusi walikuwa wananyongwa hadharani pia walisema ni mpango wa Mungu kwamba Mwafrika au Mtu mweusi ameumbwa kumtumikia Mtu mweupe na si vinginevyo, hivyo Mungu amewapa uhalali wa kuwanyonga walikuwa wanaiita lynching!

Kwa nini nimeandika hayo? Ni kwamba unavyofikiri kwamba ni sawa kumfikiria Mwanamke jinsi ulivyoandika basi lazima pia ukubali na wengine wakufikirie wanavyotaka, Muheshimu Binadamu

Mwenzako na Usimbague kwa kuwa tu amezaliwa na anaonekana tofauti na wewe!!

Its very unfortunate unaona ni shame kwa sababu hujapenda kusumbua kichwa chako kwa nini ajivunie hiyo?

Kuna statement moja kwenye maandiko inasema hivi? Isaya 4:1 ''Wakati huo wanawake saba watamwendea mwanaume mmoja wakisema, tutakula kwa hela zetu, tutavaa kwa hela zetu lakini TUITWE TU kwa jina lako utuondolee aibu yetu'' ''1 In that day seven women will take hold of one man and say, "We will eat our own food and provide our own clothes; only let us be called by your name.Take away our disgrace!" unaonaje? Bado tu huoni kuna umuhimu wowote wa kujivunia kuitwa kwa jina la Mumeo?

kwa kawaida nyie wanawake mnapenda kuitwa majina ya waume zenu. kwa mfano mi hapa ofcn kwangu kuna boss mmoja amesoma hadi ngazi ya phd lakini ana tumia jina la mme wake kwamba anaona fahari kutumia jina la mwanaume na si jina la baba yake aliye mzaa shame on her
 
Kama unasema hivyo wapo pia wanaosema kwamba Mwafrika (mtu mweusi) amezaliwa kuwa Mtumwa tu na si vinginevyo, tena wanatumia mpaka Kurani na Biblia kama wewe ulivyotumia kuhalalisha kauli zao, na ndio maana mpaka leo Mtu mweusi anaitwa Abdi Uarabuni maana yake Mtumwa na Wazungu wanatuita Niga maana yake inajulikana!

Unasema ni mpango wa Mungu Wanawake kudharauliwa, sasa pia Marekani mpaka Miaka ya 50 Watu weusi walikuwa wananyongwa hadharani pia walisema ni mpango wa Mungu kwamba Mwafrika au Mtu mweusi ameumbwa kumtumikia Mtu mweupe na si vinginevyo, hivyo Mungu amewapa uhalali wa kuwanyonga walikuwa wanaiita lynching!

Kwa nini nimeandika hayo? Ni kwamba unavyofikiri kwamba ni sawa kumfikiria Mwanamke jinsi ulivyoandika basi lazima pia ukubali na wengine wakufikirie wanavyotaka, Muheshimu Binadamu

Mwenzako na Usimbague kwa kuwa tu amezaliwa na anaonekana tofauti na wewe!!

Twende taratibu kwa fact...

Nipe aya kwenye Biblia kitabu ninachokiamini inayosema Muafrika ameumbwa ili awe mtumwa, tuache hadithi za kwenye gahawa.
 
Nilichokwambaia ni kwamba kuna Jamii ambazo zimekuwa zikiamini hivyo, na vile vile walitumia Kurani na Biblia kuhalalisha hayo na ndio maana Papa Yohanes Paulo wa Pili aliomba msamaha kwa niaba ya Kanisa Katoliki kutokana na kujihusisha (Kanisa) kwake na Biashara ya Utumwa, yaani walikuwa wanatumia Biblia vibaya kama wewe unavyoitumia vibaya kuhalalisha Ubaguzi na Ukandamizaji wako dhidi wa Wanawake!

Sasa mambo ya kuanza kusoma Bbiblia na kutafuta Aya ni mengine, ila kama hauamini jiulize kwa nini Papa (Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki) aliomba Msamaha kwa niaba ya Kanisa Katoliki kwa ushiriki wake wa Biashara ya Utumwa?

Na Waislamu hivyo hivyo hauhitaji Kurani kujua kwamba walitumia Kurani kuhalalisha biashara ya Utumwa nenda tu Bagamoyo hata yule tour guide atakwambia na kuna ushahidi!

Badly unajaza maandishi tu hapa hata ueleweki what is your point!! Mwanamke aliumbwa kutoka ubavuni mwa Mwanaume ili awe msaidizi wake thats it. hiyo miandishi kibao unayoijaza wewe hapa wala haina tija yoyote. ni kichaa peke yake anayeweza kusema Mwanamke na Mwanaume ni sawa, nadhani sasa tuwape fursa za kuanza kuzika wafu wetu.
 
Vyovyote vile nilikuwa tu najaribu kukueleza kwamba wewe unatumia Dini kusema kwamba, Wanawake ni watu chini na wameumbwa kutumikia Wanaume, pia Dini hiyo hiyo ilitumiwa na Watu wengine pia kusema Waafrika ni inferior, na tumeumbwa kuwa watumwa wa watu wengine basi, sio zaidi ya Hapo!
 
pole sana Kamusi....
Mimi ninachokuomba wala usibadilishe, kwa sasa.
huwezi jua mambo ya mapenzi, yanaweza kurudia tena upyaaaaaa, ukajilaumu kwa nini ulibadilisha jina. acha tu na endelea kuirudisha ndoa yako kwenye mstari, kila kitu hutokea kwa sababu zake

sasa huyu ndio muda wake muafaka wa kubadilisha hilo jina,mambo yakienda poa huko mbeleni kuchokana kukiisha basi hana hasara kajirudia jina lake, lakini jamani mlivyokuwa mnabadili sijui hamkujua kuna kesho, Matola kanimaliza na Lucy Owenyi, ndio nimekasirika kabisaaa tena hata leo hii nimsikie msukuma kaibuka na hii mada nadhani tutagombana aisee, lol kila mtu abakie na jina alilopewa na wazazi wake bwana.
 
Namfahamu Lucy Kitambo than you think....

Sihitaji mke abadili jina kuchukuwa ubini wangu, ninachohitaji kwa mke ni upendo tu, no much.

Isitoshe mimi kwanza hata kuitwa Baba fulani huwa sipendi napendwa kuitwa jina langu, na ingekuwa ni amri yangu hata Baba na Mama yangu ningekuwa nawaita kwa majina yao tena yale ya kwanza.
nyumbani kwangu tunaitana majina ya kwanza.....
watoto wangu wakitaka kunitania wananiita jina la kwanza....
mama yetu tunamwita jina la kwanza, tena kwa mkato, siyo fuul name. hata ninapokuwa na ndugu zangu tukamzungumzia mama tunamtaja kwa jina lake, watu huwa wanatushangaa lakini tumeshazoea sana
 
Kwa mfano wale waliopewa na wazazi wao majina kama Mke jina, shida, chausiku, Sikujuwa, Sikitu, Matatizo, Kundugeni and likes hawa waende ofisi za Register kubadili haya majina mara moja, kuna nguvu kubwa sana pia katika majina, hata biashara yako ikikuendea kombo badili jina la kampuni. ( hii ni mada ndefu kidogo na inahiyotaji thread yake.)

you are very right ukitaka kuamini mwona Masumbuko LAMWAI halafu muangalie nduguye selasini utajua nguvu ya jina
 
kwa kawaida nyie wanawake mnapenda kuitwa majina ya waume zenu. kwa mfano mi hapa ofcn kwangu kuna boss mmoja amesoma hadi ngazi ya phd lakini ana tumia jina la mme wake kwamba anaona fahari kutumia jina la mwanaume na si jina la baba yake aliye mzaa shame on her

binafsi sion kama ni aibu manake hata kwenye biblia imesema siku za mwisho wanawake 7 watamwendea mwanaume mmoja na kumwambia tutakula na kuvaa kwa pesa zetu lkn tuitwe tu kwa jina lako..............hapa inaonyesha kwamba kule kumilikiwa na mume tu kwa mwanamke ni sifa na fahari kwake.
 
Niruhusa kubadili jina lako vyovyote upendavyo ila usibadilishe la mzee wako maana si lako, ila inapendekezwa usibadili jina zuri kwa baya. Pia usibadili kufuata mtazamo wa kishirikina
 
Eti kuna umhm mke wa kuitwa jina la mumewe? Naona wengi wa waliolewa wanaitwa majina ya wanaume zao. Hope hata wangu ataitwa jina langu. Asante sana aliegundua mfumo huu
 
Mnaanza uchokozi tukianza kufunguka muone tunakandamiza Wanawake kwa mfumo dume. Wayahudi wanawake kwao hawahesabiwi.

Mwanamke ni msaidizi wa Mwanaume tu na si vinginevyo, haya mengine tunayoyaendekeza leo haukuwa mpango wa Mungu, ndio mtaendelea kulalamika kuzinguliwa na Wanawake mpaka mwisho wa Dunia na mmeona haitoshi sasa mna program yenu mnaiita 50 kwa 50 hii ni kufuru kwa mwenyezimungu.

jamani hivi mbona haki sawa(50 50) kwenye pesa inasahaulika?
 
Back
Top Bottom