The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
kabisa, sasa mwanaume akisema matatizo yake huyu bidada na wigi lake na makope bandia atatatua nini ?!Mwanaume kaumbwa kutatua matatizo yake na sio kuyasema, wewe kuwa mwema kwake inatosha
Ndio hvyo sasa huyo Dada watoto kawaacha wenyewe na ni usiku na taarifa hakutoa kwa mumewe. Yawezekana alitoka kugawa uteleziNa ukae kimke wa mtu,siyo ndoa Saitama na ubachela wautaka
Huduma au kutoa Kila kitu kwako haimaanishi hatuna ndugu au tunavyo vingi. Lah! Tunkupunguzia sabab za kushawishiwa huko nje. Sasa Leo unaenda kutoa CHEZO Kwa kimeo kimoja hakina mbele Wala nyuma eti alikuwa anakuoshea gari nlonunua mm. Msamaha wake hapo uniachie ziwa Moja nikalichemshe mmNi kweli usaliti si kitu chema kiukweli
wamebaki wachache sana wa aina hiyo 😊Hanaga mambo mengi
Hata mamayako mzazi anaweza kukuangusha miuu,imewahi kunitokea rena sio mara moja mamakuniangusha nanikadhalilika .hadi nikajiuliza hadi mama ameshindwa kunielewa,???Not often,
Very rarely.
Jaman sio wote🤦♀️Suluhisho ni moja never ever take a woman serious at any time, utakuja kuumia mbeleni.
Inasemekana alioga uko alikotoka 😂😂🤣🤣🤣🤣 Hatuna uhakika ujue
Wewe unaweza mvumilia mwanaume anaekusaliti daily tena waziwazi? Na kufurahiawamebaki wachache sana wa aina hiyo 😊
uttoh2002 🤗🤗🤗Mwanaume kaumbwa kutatua matatizo yake na sio kuyasema, wewe kuwa mwema kwake inatosha
Soma post yangu #20Hata mamayako mzazi anaweza kukuangusha miuu,imewahi kunitokea rena sio mara moja mamakuniangusha nanikadhalilika .hadi nikajiuliza hadi mama ameshindwa kunielewa,???
Shee wewe likukute tu lolote🤣🤣🤣Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea.....[emoji375][emoji419][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ukweli🤣Khaaa
Mnapokula pesa zetu ndefu halafu mwisho wa siku mnaingia mitini/cheat hii inaumiza na inatia hasira.Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea. Wanawake tumepewa kipaumbele sawa, lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa.
Hizi mambo naona ndo zinachangia;
1. Kuuua wake zao
2. Kuchukia wanawake especially singlemoms
3. Kujiua wenyewe
Sasa Kwa niaba ya jamii na wanawake wenzangu tunaomba kuweni wazi ni vitu gani mnakereketwa navyo then hatuwasikilizi iwe nje ya ndoa, ndani ya ndoa, wanachuo na kijamii kiujumla.
Mie naamini Suluhu itapatikana.