Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,793
- 9,069
Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea. Wanawake tumepewa kipaumbele sawa, lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa.
Hizi mambo naona ndo zinachangia;
1. Kuuua wake zao
2. Kuchukia wanawake especially singlemoms
3. Kujiua wenyewe
Sasa Kwa niaba ya jamii na wanawake wenzangu tunaomba kuweni wazi ni vitu gani mnakereketwa navyo then hatuwasikilizi iwe nje ya ndoa, ndani ya ndoa, wanachuo na kijamii kiujumla.
Mie naamini Suluhu itapatikana.