Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Kuna mtu hapo anasema Heri Ben Saanane. Sijui kama huyo member apo juu anajua kilichotokea.Ben hawezi kukwepa lawama maana kama mwenyekiti aliyepatikana ndio huyu ni kwa sababu ya siasa za kukomoana za akina Ben ,Heche,Munishi na uongozi. Ben sikumuunga mkono katika uchaguzi ule na maandishi yangu yapo hadi sasa uku JF.Niliona kwamba ni lazima angeshinda lakini propaganda ya ukabila si ingetumaliza?alishauriwa ajitoe agombee hata ukatibu mkuu akagoma.Jamaa ni mbishi sana sasa ikabidi marekebisho ya kanuni yawekwe kwa kuwa yeye kazaliwa december83' ikawekwa awe amezaliwa januari 84'. Kwa kufanya hivyo akwa nje tayari lakini Nanyaro Ephata na Dani Naftali walikua na nguvu ya kushinda baada ya yeye kuondoa jina .Akina Heche na Munishi nadhani na uongozi wa juu walimtaka Naftali.Ben kwa hasira na kukomoana na kundi lake wakaamua kuhamishia kambi kwa Upendo Peneza na Petrobas na ilishuhudiwa waziwazi akina Ben wakipiga kampeni ya nguvu dhidi ya Naftali na Nanyaro huku wakiratibu kuelekeza kura kwa Petrobas na hata kwenye ukatibu mkuu kwa Mwita siku iliyofuata.Usiku wa kuamkia kampeni hadi Lema aliingilia uchaguzi kummaliza Nanyaro na ukumbini wakati wa kura akina Ben walielekeza karatasi za maswali ya uchokozi kwa Naftali wakammaliza.Walinikera sana kwa siasa hizi za kulipiza visasi.Ndio maana hata kwenye ule uzi wa mwezi uliopita Ben aliibuka kumtetea Petrobas .Ni lini Heche akiwa Mwenyekiti uliwahi kumuona Ben akimtetea alipopigwa mawe huku?Hapa ndipo baraza letu lilipopoteza Mwelekeo kwa sababu ya siasa za ubabe ,kukomoana na kulipiza visasi. Naftali angeshinda ule uchaguzi na kila mtu alijua.

nilishasema *BEN*ana kitu nyuma ya pazia*
-juzi akaibuka na kuanza kumkashifu kamamda saed kubenea!
 
NAOMBA NIWEKE WAZI KUWA SIWEKI POSTI HII ILI KUVURUGA UMOJA HUU,WALA SINA NIA YA KUFARAKANISHA VIONGOZI,NIA YANGU NI KUANZISHA MJADALA MPANA ILI KUUSAIDIA UMOJA WETU UENDANE KASI INAYO TAKIWA.

Baraza la vijana wa chadema kwa sasa linaonekana limefubaa,ni thahiri uongozi uliopo unashindwa kubuni mambo,hauna kasi iliyokuwepo hapo awali alipokuwepo Mh,Heche, uongozi ni kama unafanya mambo kwa kushuliwa na baadae una lala tena.niwazi mwenyekiti wetu amzidiwa mbinu au hana mbinu za kuchangamsha baraza.

Wana bavicha niwazi sasa tunahitaji mbinu mbadala,au plan B, baraza linahitajika kuamka na uongozi ukubali kuanzisha kikosi kazi maalum kitakachokuwa ndani ya bavicha kwaajili ya kazi hiyo,mwenyekiti abaki ofisini kusimamia harakati hizo kwasababu hata kwenye operesheni alizoshiriki ameonyesha kutomudu mikiki mikiki na badalayake amakuwa akimezwa na waliomzunguka na kutoonekana kabisa,amekuwa kama anauoga flani.

Tunahitaji kikosi kitakacho changamsha baraza letu hata ikiwezekana waliogombea nafasi ya mwenyekiti na kushindwa basi,wapewe uwanja maalum wa kuendesha siasa ndani ya bavicha ili baraza lichangamke na kurudisha msisimko uliokuwepo awali.

kwamuda ambao mwenyikiti amekuwepo umetosha kumpima na kujua ni mtu wa aina gani,uwezowake jukwaani tumesha ufahamu,huvyo hatupaswi kuendelea kupoteza muda wakati uchaguzi unakaribua.

NI WAKATI WA KUCHUKUA HATUA SASA KWA USTAWI WA UMOJA WETU

Ushauri wako ungelikuwa mzuri sana sana na wakujenga kama ungeli uzungumzia MAHALA STAHIKI na SI JF au on PUBLICITY.

Sasa hata mimi unanipa mashaka usije kuwa ni WALEWALE na KAMA SIYO WALEWALE comeon ASAP and Correct your Post.

Haraka sana.
 
naomba niweke wazi kuwa siweki posti hii ili kuvuruga umoja huu,wala sina nia ya kufarakanisha viongozi,nia yangu ni kuanzisha mjadala mpana ili kuusaidia umoja wetu uendane kasi inayo takiwa.

Baraza la vijana wa chadema kwa sasa linaonekana limefubaa,ni thahiri uongozi uliopo unashindwa kubuni mambo,hauna kasi iliyokuwepo hapo awali alipokuwepo mh,heche, uongozi ni kama unafanya mambo kwa kushuliwa na baadae una lala tena.niwazi mwenyekiti wetu amzidiwa mbinu au hana mbinu za kuchangamsha baraza.

Wana bavicha niwazi sasa tunahitaji mbinu mbadala,au plan b, baraza linahitajika kuamka na uongozi ukubali kuanzisha kikosi kazi maalum kitakachokuwa ndani ya bavicha kwaajili ya kazi hiyo,mwenyekiti abaki ofisini kusimamia harakati hizo kwasababu hata kwenye operesheni alizoshiriki ameonyesha kutomudu mikiki mikiki na badalayake amakuwa akimezwa na waliomzunguka na kutoonekana kabisa,amekuwa kama anauoga flani.

Tunahitaji kikosi kitakacho changamsha baraza letu hata ikiwezekana waliogombea nafasi ya mwenyekiti na kushindwa basi,wapewe uwanja maalum wa kuendesha siasa ndani ya bavicha ili baraza lichangamke na kurudisha msisimko uliokuwepo awali.

Kwamuda ambao mwenyikiti amekuwepo umetosha kumpima na kujua ni mtu wa aina gani,uwezowake jukwaani tumesha ufahamu,huvyo hatupaswi kuendelea kupoteza muda wakati uchaguzi unakaribua.

Ni wakati wa kuchukua hatua sasa kwa ustawi wa umoja wetu

kosa la mpumbavu hujulikana kwa watu wote isipokuwa yeye mwenyewe lakini kosa la mwelevu hujulikana kwa yeye mwenyewe isipokuwa watu wote. Wewe umenena vyema lakini watakushambulia sasa ila kwa sentensi niliyotanguliza ikupe moyo usikate tamaa.
 
kwanini mpwa haya mambo tusingeyazungumzia kule kule kwetu? Nadhani tuna njia sahihi sana ya kuwekana sawa. Ni jambo jema unayosema lakini pia hapa ujumbe hautafika vyema kama ungezungumzia kule kule au hata kwenye chadema ni msingi...... Ni wazo tu

huko ndani hamuruhusu uhuru wa maoni. Akisema huko ndani mwamuita mamruki ametumwa kwahiyo lazima asemee humu with hiden id
 
NAOMBA NIWEKE WAZI KUWA SIWEKI POSTI HII ILI KUVURUGA UMOJA HUU,WALA SINA NIA YA KUFARAKANISHA VIONGOZI,NIA YANGU NI KUANZISHA MJADALA MPANA ILI KUUSAIDIA UMOJA WETU UENDANE KASI INAYO TAKIWA.

Baraza la vijana wa chadema kwa sasa linaonekana limefubaa,ni thahiri uongozi uliopo unashindwa kubuni mambo,hauna kasi iliyokuwepo hapo awali alipokuwepo Mh,Heche, uongozi ni kama unafanya mambo kwa kushuliwa na baadae una lala tena.niwazi mwenyekiti wetu amzidiwa mbinu au hana mbinu za kuchangamsha baraza.

Wana bavicha niwazi sasa tunahitaji mbinu mbadala,au plan B, baraza linahitajika kuamka na uongozi ukubali kuanzisha kikosi kazi maalum kitakachokuwa ndani ya bavicha kwaajili ya kazi hiyo,mwenyekiti abaki ofisini kusimamia harakati hizo kwasababu hata kwenye operesheni alizoshiriki ameonyesha kutomudu mikiki mikiki na badalayake amakuwa akimezwa na waliomzunguka na kutoonekana kabisa,amekuwa kama anauoga flani.

Tunahitaji kikosi kitakacho changamsha baraza letu hata ikiwezekana waliogombea nafasi ya mwenyekiti na kushindwa basi,wapewe uwanja maalum wa kuendesha siasa ndani ya bavicha ili baraza lichangamke na kurudisha msisimko uliokuwepo awali.

kwamuda ambao mwenyikiti amekuwepo umetosha kumpima na kujua ni mtu wa aina gani,uwezowake jukwaani tumesha ufahamu,huvyo hatupaswi kuendelea kupoteza muda wakati uchaguzi unakaribua.

NI WAKATI WA KUCHUKUA HATUA SASA KWA USTAWI WA UMOJA WETU
CHADEMA hakuna maneno hayo mekundu
 
ben amechanganyikiwa baada ya mpango wake wa kumpindua Selasini rombo kushindikana

Kwa ROMBO atamshinda Selasini kura za maoni lakini inabidi aache ubishi na kukomoana.Vinginevyo ana jeuri kama Zitto ambayo sio nzuri sana
Kwa bavicha alinikera sana kwa uamuzi wa kuhamishia kambi yake kwa wagombea dhaifu kwa lengo la kulipiza kisasi na kukomoa hadi tukapata haya tunayojadili sasa ivi
 
Hivi wabunge walioshinda uchaguzi uliopita watapigiwa kura au wataachwa wayatetee majimbo yao?
 
Kuna mtu hapo anasema Heri Ben Saanane. Sijui kama huyo member apo juu anajua kilichotokea.Ben hawezi kukwepa lawama maana kama mwenyekiti aliyepatikana ndio huyu ni kwa sababu ya siasa za kukomoana za akina Ben ,Heche,Munishi na uongozi. Ben sikumuunga mkono katika uchaguzi ule na maandishi yangu yapo hadi sasa uku JF.Niliona kwamba ni lazima angeshinda lakini propaganda ya ukabila si ingetumaliza?alishauriwa ajitoe agombee hata ukatibu mkuu akagoma.Jamaa ni mbishi sana sasa ikabidi marekebisho ya kanuni yawekwe kwa kuwa yeye kazaliwa december83' ikawekwa awe amezaliwa januari 84'. Kwa kufanya hivyo akwa nje tayari lakini Nanyaro Ephata na Dani Naftali walikua na nguvu ya kushinda baada ya yeye kuondoa jina .Akina Heche na Munishi nadhani na uongozi wa juu walimtaka Naftali.Ben kwa hasira na kukomoana na kundi lake wakaamua kuhamishia kambi kwa Upendo Peneza na Petrobas na ilishuhudiwa waziwazi akina Ben wakipiga kampeni ya nguvu dhidi ya Naftali na Nanyaro huku wakiratibu kuelekeza kura kwa Petrobas na hata kwenye ukatibu mkuu kwa Mwita siku iliyofuata.Usiku wa kuamkia kampeni hadi Lema aliingilia uchaguzi kummaliza Nanyaro na ukumbini wakati wa kura akina Ben walielekeza karatasi za maswali ya uchokozi kwa Naftali wakammaliza.Walinikera sana kwa siasa hizi za kulipiza visasi.Ndio maana hata kwenye ule uzi wa mwezi uliopita Ben aliibuka kumtetea Petrobas .Ni lini Heche akiwa Mwenyekiti uliwahi kumuona Ben akimtetea alipopigwa mawe huku?Hapa ndipo baraza letu lilipopoteza Mwelekeo kwa sababu ya siasa za ubabe ,kukomoana na kulipiza visasi. Naftali angeshinda ule uchaguzi na kila mtu alijua.

Mkuu TUTASHINDA TENA asante kwa kutoa ufafanuzi murua, lakin mhe Lema anaingiaje hapa, aliingilia kummaliza Nanyaro kiviipi? Toa ufafanuzi isije ikawa ni kupandikiza chuki miongoni mwa makamanda.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ebu tuambie kwenye kiti wa sasa kafanya nn mpaka sasa, maana mikutano mingi huwa anakuwa na viongozi wa kitaifa. hebu angalia alivyokuwa bwana Heche

Jamaa ni mzigo kama wa zege..
 
Hapana shaka,miongoni mwa sababu zilizowezesha ushindi wa Mwenyekiti ni kiwango chake cha elimu,nafasi yake katika chama- akitumikia kama mwanasheria wa chama,Kanda ya Ziwa - na pia kufahamika kwake kwa wapiga kura,pengine kuliko wagombea wengine,kutokana na hulka yake,wakati huo,ya kupenda kushiriki mara kwa mara mijadala ya kisiasa katika kituao cha Televishen cha StarTV.Hakika sifa zote hizo ni muhimu lakini hazitoshi.Mwanasiasa mahiri haegemei katika wasifu wake,wala historia yake ama hata kufahamika kwake kwa jamii,badala yake,anakuwa na kiwango cha kuridhisha cha ukubalikaji,ushawishi,ufuasi,sifa ambazo aghalabu hutokana,pamoja na mambo mengine,na umahiri katika stadi za mawasiliaono.Hizi ni sifa zilizokosekana kwa Mwenyekiti wa sasa.Inasikisha sana.Inahuzunisha sana.
 
huko ndani hamuruhusu uhuru wa maoni. Akisema huko ndani mwamuita mamruki ametumwa kwahiyo lazima asemee humu with hiden id
ni busara ukituachia mamboyetu ya ndani tuelezane wenyewe
 
No ndio alivyo ni ni hasara, tukumbuke ni mwajiriwa wa CCM kupitia Diallo, hilo nalo neno maana kimyaaaaaaaa ili iweje?
 
Kwa yeyote ambaye anaushauri kuhusu bavicha naomba afike osifi za chama mkoa au makao makuu tutamzikilia kama ni chadema kweli
 
Back
Top Bottom