That book was something else.
I read that they were going to shoot a movie
My Life in Crime novel to be shot as movie
By Mario puzo - Godfather, Padrino
By Jeffery Archer - Kane and Abel, The Fourth Estate, Honor Among Thieves na As the crow flies
mkuu nahtaji 48 laws of power muandishi nmemsahauHaya haya wale wazee wa kupanua uelewa na kuongeza uwezo wa kifikra, Napenda kuwajuza kuwa nimeamua kuja kivingine kama Books library / Maktaba kuu. Kazi yangu mimi itakua ni kukutanisha na Vitabu mbalimbali, journals, Academic researches, Novels, comics na vijarida vingine vingi ambavyo vimeshawahi kuandikwa na watu mashuhuri Duniani. You name it, we find it.
-Karibu
Kuna kitabu kinaitwa failing forward kimeandikwa na Maxwell.Vitabu nilivyo navyo kwa sasa ni vya kizungu tu. Maana ndio vinavyopatikana online kama soft copy.
Mzee baba nimekuambia cha kwangu naona hola!Haya haya wale wazee wa kupanua uelewa na kuongeza uwezo wa kifikra, Napenda kuwajuza kuwa nimeamua kuja kivingine kama Books library / Maktaba kuu. Kazi yangu mimi itakua ni kukutanisha na Vitabu mbalimbali, journals, Academic researches, Novels, comics na vijarida vingine vingi ambavyo vimeshawahi kuandikwa na watu mashuhuri Duniani. You name it, we find it.
-Karibu
Haya haya wale wazee wa kupanua uelewa na kuongeza uwezo wa kifikra, Napenda kuwajuza kuwa nimeamua kuja kivingine kama Books library / Maktaba kuu. Kazi yangu mimi itakua ni kukutanisha na Vitabu mbalimbali, journals, Academic researches, Novels, comics na vijarida vingine vingi ambavyo vimeshawahi kuandikwa na watu mashuhuri Duniani. You name it, we find it.
-Karibu
ninacho in PDF Formnatafuta sana PDF ya hiki kitabu....
"Things I Wish I'd Known Before We Got Married." - Gary Chapman
View attachment 1073900
nina
ninacho in PDF Form
Rule no 1..Never outshine your masterMzee baba nimekuambia cha kwangu naona hola!
Nichekie 48 laws of power
Mwandish simkumbuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili?natafuta sana PDF ya hiki kitabu....
"Things I Wish I'd Known Before We Got Married." - Gary Chapman
View attachment 1073900
Kazana.Ili niyajue...
Wahenga walisema, "FOREWARNED is FOREARMED."
okay