5000/= Kwa kila kitabu kinachozidi 100pages,whats your fee??
VP vya proposal writing unavyo au!
By Mario puzo - Godfather, PadrinoNahitaji vitabu vya Harold Robbins... Kama unavo naomba niambie ni title gani unazo niagize asap.
Nahitaji kitabu ya Jeffery Archer cha 'Kane and Abel' na mwendelezo wake wa 'Prodical Daughter'
Niambie vya Mario Puzzo unavo title gani navo nahitaji...
Nahitaji pia vitabu vya Marian Keyes.
Natafuta "My Life In Crime" alikiandika jambazi mmoja Mkenya, nilikosoma zamani sana nikiwa Primary school sijapata kukiona kikiuzwa popote online.
Aaah Kiranga I read that book too. I have a copy back home in Moshi