Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter, huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.
Tweet husika ni hii:
"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”
Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka picha ya Membe.
Tweet nyingine ni hii:
CHADEMA watamsimamisha
@TunduALissu
mgombea Urais 2020 & mgombea mwenza wa Lissu atatoka Zanzibar.
@ACTwazalendo
hawatasimamisha mgombea lakini
@BenMembe
atakuwa mshauri & strategist kumsaidia Lissu; CCM watamsimamisha JPM & Samia SULUHU