Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili Membe kumuunga mkono Lissu iwapo atapitishwa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,562
2,000
Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter, huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.

Tweet husika ni hii:

"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”

Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka picha ya Membe.

Tweet nyingine ni hii:

CHADEMA watamsimamisha
@TunduALissu
mgombea Urais 2020 & mgombea mwenza wa Lissu atatoka Zanzibar.
@ACTwazalendo
hawatasimamisha mgombea lakini
@BenMembe
atakuwa mshauri & strategist kumsaidia Lissu; CCM watamsimamisha JPM & Samia SULUHU
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,916
2,000
Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter,huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.

Tweet husika ni hii:

"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”

Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka pichai ya Membe.
Shiiiiii! Mipango ni bambam. Jiwe tutalipiga nyundo za nyaraka hadi likome. Kuanzia stiglaz, flayi over, yani kila angle limefanya ushenzi wa kutupwa!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
42,113
2,000
Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter,huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.

Tweet husika ni hii:

"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”

Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka pichai ya Membe.
Zitto atakubali?!
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
7,759
2,000
Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter,huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.

Tweet husika ni hii:

"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”

Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka pichai ya Membe.

Combination hii ndiyo ambayo wapenda nchi wengi wanayoisubiri.

Kwa hakika combination hii ikiwa ita materialize, Lumumba tutatafutana na heshima itarejea mjini!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom