Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili Membe kumuunga mkono Lissu iwapo atapitishwa

Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter, huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.

Tweet husika ni hii:

"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”

Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka picha ya Membe.

Tweet nyingine ni hii:

CHADEMA watamsimamisha
@TunduALissu
mgombea Urais 2020 & mgombea mwenza wa Lissu atatoka Zanzibar.
@ACTwazalendo
hawatasimamisha mgombea lakini
@BenMembe
atakuwa mshauri & strategist kumsaidia Lissu; CCM watamsimamisha JPM & Samia SULUHU
Ujio wa Membe ACT wazalendo ni faraja ,Mwendo Mpera Mpera kama 2015,lazima tuwatemeshe ndoano!!
 
Kwahiyo Membe akikubali kumuunga mkono Lisu, huyo Membe atakuwa siyo jasusi aliyekuja kuvuruga upinzani tena?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Hizo ni propaganda kwamba amekuja kuvuruga upinzani , ni upuuzi huo!! Maumivu aliyowatandika ENL 2015 yalikuwa ya hatari mpaka JIWE aliisoma namba ,Kukosa Lubuva kuokoa jahazi tungezungumza mengine.

Membe amefukuzwa CCM na alikuwa threat sana kwa JIWE na alitangaza waziwazi kwamba atagombea hakuna cha utamaduni wala nini ,kama utamaduni wenu wa ccm kumuachia miaka 10 pelekeni wizara ya utamaduni,sanaa na michezo na sio kwenye chama!!
 
Mgombea wa uhakika na aliejipanga ni Nyalandu lakini bado mnahangaika na Lissu wakati inajulikana Kuna asilimia ndogo Sana kwa Lisu kusimama jukwaani na kuomba kura.

Huu utawala hautaruhusu kitu kama hicho kamwe.
Kwanini waogope? Kwani Magufuli hana sifa za kumzidi Lissu?
 
Mgombea wa uhakika na aliejipanga ni Nyalandu lakini bado mnahangaika na Lissu wakati inajulikana Kuna asilimia ndogo Sana kwa Lisu kusimama jukwaani na kuomba kura.

Huu utawala hautaruhusu kitu kama hicho kamwe.

Ni kweli kabisa Nyalandu kajipanga, ila anakubalika? Lissu ndio anayekubalika. Sisi wote tunajua kuwa Lissu atawekwa ndani, lakini hiyo haitufanyi tuende na bora mgombea, huku tukijua fika Nyalandu ni mgombea dhaifu.
 
Sasa kama tunajua Lisuu atawekwa ndani, Nyalandu mgombea dhaifu... Kuna plani gani nyingine...kuungana na ACT kwa Membe.
 
Hizo ni propaganda kwamba amekuja kuvuruga upinzani , ni upuuzi huo!! Maumivu aliyowatandika ENL 2015 yalikuwa ya hatari mpaka JIWE aliisoma namba ,Kukosa Lubuva kuokoa jahazi tungezungumza mengine.

Membe amefukuzwa CCM na alikuwa threat sana kwa JIWE na alitangaza waziwazi kwamba atagombea hakuna cha utamaduni wala nini ,kama utamaduni wenu wa ccm kumuachia miaka 10 pelekeni wizara ya utamaduni,sanaa na michezo na sio kwenye chama!!
Tulishawazoea nyie, huwa mnaangalia upepo unakovumia!

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Mgombea wa uhakika na aliejipanga ni Nyalandu lakini bado mnahangaika na Lissu wakati inajulikana Kuna asilimia ndogo Sana kwa Lisu kusimama jukwaani na kuomba kura.

Huu utawala hautaruhusu kitu kama hicho kamwe.
Wewe jamaa nilishashindwa kukuelewa. Hivi uko upande gani ccm au upinzani? CHADEMA walio wengi wanamtaka Lisu ila wewe huishiwi ngojera za kumpinga Lisu.
 
Back
Top Bottom