Kuna Kabinti binti binti Kananizinguaaaa...!!!!

Khaaa!!! Mungu ni fundi sana Sheikh...hatari sana

 
Ni karembo.
Msifu Mungu kwa uumbaji
 
just thinking....kwa unyama wa babaye, who will dare touch her let alone kuthubutu kutongoza...na hasa ikiwa binti atampenda kijana wa Kihutu
Ndo maana hukawii sikia chifu kuku anakula mzigo. Si anakuwa karibu naye kwa sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…