Kuna Kabinti binti binti Kananizinguaaaa...!!!!

farkhina si nilikwambia...unaona ha ha ha!!!

Ha ha ha!!!...weye na shogako mwaujua ugonjwa wangu...yeye nesi na wewe ndiye tabibu lol

Ukigusa wangu mwili na kujua langu joto hakika wayajua yangu maradhi...heheheyaaa!!!

Nitibu taratibu basi afya yangu ipate rejea....
 
ha ha ha unataka anifie kifuani anaweza apate mshtuko wa moyo!

Mpwa Kaizer huyu bibiye hakusoma ile sredi ya Zahra White eenh...ya sisi vizee vya abavu 35 tunavyojua kumiliki dimba la juu na la chini...

Kwa kifupi tuwapo mchezoni sisi ndio roho ya timu....mashuti tunapiga...pasi fupi fupi tunatoa...sisi ndio tunameditate mwelekeo wa ushindi...
 
Last edited by a moderator:
Shemkwe naona mambo yako na mimi49!
Ha ha ha!!!...weye na shogako mwaujua ugonjwa wako...yeye nesi na wewe ndiye tabibu lol

Ukigusa wangu mwili na kujua langu joto hakika wayajua yangu maradhi...heheheyaaa!!!

Nitibu taratibu basi afya yangu ipate rejea....
 
Last edited by a moderator:
Mpwa Kaizer huyu bibiye hakusoma ile sredi ya Zahra White eenh...ya sisi vizee vya abavu 35 tunavyojua kumiliki dimba la juu na la chini...

Kwa kifupi tuwapo mchezoni sisi ndio roho ya timu....mashuti tunapiga...pasi fupi fupi tunatoa...sisi ndio tunameditate mwelekeo wa ushindi...

mpwa watu8 tartiib ataelewa tu
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha!!!...weye na shogako mwaujua ugonjwa wangu...yeye nesi na wewe ndiye tabibu lol

Ukigusa wangu mwili na kujua langu joto hakika wayajua yangu maradhi...heheheyaaa!!!

Nitibu taratibu basi afya yangu ipate rejea....
Loh kama nakuona hapa na picha nakuchora kabisa ha ha ha!!
 
donlucchese once upon time in mumbai must watch plz....# ajay devgan,imraan hashmi,randeep hooda n kangana raunt.
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna mtu ameangalia Wale waimbaji WA kwetu pazuri huyu hamfikii hata mmoja wao sema kwa sababu ni mtoto WA raisi...
 
Back
Top Bottom