Kuna Kabinti binti binti Kananizinguaaaa...!!!!

Kuna Kabinti binti binti Kananizinguaaaa...!!!!

Imagine the world without these beautiful flowers! women your so gorgeous!
 
Kuna birthday yake moja hivi, aliulizwa na dingi yake anataka nini, akasema anataka Trey Songz aje kumburudisha na show basi mtu mzima Trey akavutiwa uzi akapewa deal la mkwanja mrefu akaruka fasta hadi Kigali akaenda kumpigia mtoto private show ikulu. Dah, na trey alivyomnyamwezi atakua hajakwangua kweli? Mawe noma!
 
Khaaa!!! Mungu ni fundi sana Sheikh...hatari sana

attachment.php

Kama tunavyojua mwenyezimungu kuna makabila mengine kawatengeneza vizuri ...hatari sana
 
Ni mwanajeshi naàlikuwa na mahusiano na msanîi flan wa muziki wa rwanda,baba mtu alipogundua akampeleka jamaa kusoma nje,USA. Ss ivi babsa mtu anampenda sana msanii flan wa rwanda ambae ndo anatamani ampe ata mwanae aoe
 
Mbona wa kawaida sana?
Labda urefu ndo kafunika nao.
 
Hahahahahahh hebu lete hayo majela (mahari) kama upo ukwelini lol......au vipi mimi49

Ngoja basi tuongee kwa herufi kubwa uwe mshenga wangu unkantilie maneno matamu kwa wakwe...au waonaje
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha unataka anifie kifuani anaweza apate mshtuko wa moyo!


unampelekamo taratiiib, ndo raha yenyewe ati, kukimbizana kimbizana kwani mpo mbio za mita 100? Eti mimi49
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom