Kuna jambo ukiweka dot to dot unaona kabisa Raisi museveni wa uganda na umwagaji wa damu na bomba la mafuta linalopita TZ kulinda maslahi

Kuna jambo ukiweka dot to dot unaona kabisa Raisi museveni wa uganda na umwagaji wa damu na bomba la mafuta linalopita TZ kulinda maslahi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,524
Lisemwalo lipo na kama lipo basi linakuja ni kwamba pale ikulu ya tanzania kuna nini ambacho mpaka damu za watanzania zimemwaga kwa ubavu mkubwa.

Je vikosi vilivyoombwa na kashafa kuwa wametoka uganda walikuja kwa ajili ya mslahi ya nani?.

Tunajua mradi mkubwa wa mafuta umepita hapa na kwa nini kashfa hapewe raisi mseveni kuleta vikosi tanzania ?.
Kulinda mradi na walaji ambao wamejimilikishia mikataba ambayo itawavurugia ugali wao pale ikulu.
 
Back
Top Bottom