Lakini kuna JW huko wanayajua haya?Kuna taarifa kuwa wale waasi wa Msumbiji Usiku wa leo wamevamia Mtwara kata ya Kiyanga iliyopo mpakani na mto Ruvuma.
Aidha, inasemekana wamechoma moto baadhi ya majengo, kuua na kuteka watu.
Watu walioko huko Mtwara hebu tupeni update kamili
Hivi vikundi vya kigaidi havina mbabe kabisa.Hakika wanachokitafuta watakipata. cc JWTZ
Ombi hili lifike sehemu husika.Naomba jeshi lipeleke nguvu zake huko kuokoa wananchi wenzetu, wale waliopelekwa Zanzibar kusaidia kuiba kura ili ccm ilisuinde waindolewe haraka wapelekwe mtwara
JWTZ badala ya kulinda mipaka wanalinda chama fulaniMungu awanusuru ndugu zetu, atulindie nchi yetu dhidi ya uasi