Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye bodaboda Mimi natembea nikahisi kama kaanza kistukia mchezo mke wake nimemchapa mara 5 tu sio nyingi wakuu hivi anaeza kua kanistukia au Mimi tu najistukia
You boast about betraying a fellow brother-in-arms by sleeping with his wife
 
Vijana mnasemaga watu wengi hawana furaha kwenye ndoa au mahusiano yao sasa nawapa onyo na kumbusho jua mke au mme ni mali kama mali nyingine zinazotafutwa kwa jwa jasho na damu tena kuna garb kubwa kuzitunza zisipotee au zisialibike sasa jichanganyeni natena malachache sasana mt ukikutwa na mke au mme wa mt ukapelekwa mahakamam wengi hufanya mauaji,unajisi tena kwaukatili mkubwa sana yaani bora kupelekwa police au mahakaman
 
Siku hizi mnawapaka mafuta tu sio🤣

Watu washakuwa wajanja, ukiua mtu kisa ugoni unanyongwa, ukishitaki ugoni unaishia kupewa laki tano na kesi inachukua miezi sita. 😊

Naona siku hizi, ukikamata mtu anapakwa mafuta, au kama hujamdaka unamtafutia wahuni wanamdaka wanampiga mtungo na mke unamuachia. 😁
 
Mi mwenyewe hapa huwa nakula wake za watu ila siendi kujisifia kwenye magenge ya wanaume si vizuri, watajenga picha kuwa napitia pia wake zao na kujenga bifu na mimi. Kula mke wa mtu ni siri kubwa ukibainika jamii nzima itakushikia bango kuwa huwa unapakua mizinga ya watu
 
Ila sijui ni kwa nini lakini, wanawake za watu wengi wao siku hizi wanamegwa sana na wasio na waume zao. Hata buku tano wanaachia mzigo, wao wenyewe ndio wanaparata kwa kupigapiga mizinga, ukute mke mwenyewe ana shepu hevi, nyuma mpondodo upo, msela lazima apite naye kwenda kumuonjea mpiko
 
Alafu sikuhiz hata sisikii kabisa imekuwaje watu wamekomas na usalit au vipi

Pitia kesi za mauaji mahakama kuu na mahakama ya rufaa, ingiq TanZil. Kesi nyingi za mauaji ni za wivu wa mapenzi na ugoni. Nenda gereza lolote utakuta kuna watu kibao wamefungwa miaka 30, Maisha au kunyongwa kufuatia wivu wa mapenzi. Murder au Manslaughter.😁
Na wanaouwawa sio wanawake ni Wagoni/ watu waliohisiwa ugoni. 😁

Sasa watu washastuka siku hizi, ukibainika unapiga mke wa muhuni anawapa hela vijana wa kazi, unaviziwa unapigwa pipe na picha za mnato, zinachukuliwa. Hutoshitaki popote kwa kadhia hiyo. 😁
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, ingekuwa unachapiwa wewe sidhani kama ingesound fun kama unavyosimulia kwa bashasha
 
Back
Top Bottom