Kuna jamaa anachunwa pembeni yangu

Kuna jamaa anachunwa pembeni yangu

hahahahahhahahahhaha ' le mtemakuni originale' hahahh atakuwa ananuka majashoooo au mamoshi lol
Afu kuna sehemu nimekuta watu wanabishana eti wewe ni 'HE' unahisi kwanini wanadhani hivyo wakati mimi nauona mwandiko wako ni wa kike?
 
kuna lipuuzi fulani linaitwa Jordi Pola !lilinifata pm gafla likaanza nisumbua sikulijibu ! kesho yake likanitumia picha ya di.ck uwiii nilichfukwa ukwel nikawa nakosa cha kumjibu ! ndo siku 1 nikamwambia unajua mie ni men! hapo hapo nikaweka status ya male!kumbe na kuna mdada mmoja alimtongozaa kihunihuni tu nae akamwambia ni men! bas ndo kutuanzishia uzi kuwa sie ni mamen! haaha ananiboa had leo huyu mtoto mnuka ko.jo! ila nipo poa tu hata waniite mie men!
 
Teh teh.. pole
 
Hahahaa duh...
images
 
Teh teh.. pole

shoo hukuuona huo uzi! hahaha nilipoteza rafk mmoja akaniambia aisee wewe kumbe men! nikamwambia sepa na ww!haha akajua mie shoga! yaan nimehangaika saana kujitetea! na mpk leo no salam yaan! nilimwambia ina maana wewe na kuishi kwako kote huko maulaya hujui arts za kike! akawa amekomalia nikamchamba akasepa !mxiew
 
Wakuu,

Nipo bar fulani naangalia taarifa ya habari huku napata na kisichana changu, sasa pembeni yangu amekaa jamaa na msichana wake msichana analia shida kichizi na mchizi anatoa hela, mi mwanzoni nilijua anazo kumbe jamaa kachoka vibaya mno. Kituko kimekuja pale msichana alipoenda washroom.

Jamaa kaanza kupiga simu kwa mchizi wake kuwa anachunwa huku hadi anahisi kulia yani hajielewi na anajuta kukubali kukutana na yule msichana bar, nimetamani nimsogelee nimkanye lakini roho nyingine ikasema ngoja nikuache sipati adabu ili siku nyingine asirudie.

Kila nikimuangalia namuonea huruma ama kweli wajinga ndio waliwao.

Delta Force
Mkuu umenistua, nikajua anachunwa ngozi, kumbe hela tu. Hiyo kawaida saaaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu kuna sehemu nimekuta watu wanabishana eti wewe ni 'HE' unahisi kwanini wanadhani hivyo wakati mimi nauona mwandiko wako ni wa kike?
Swahiba hapo HE unamaanisha HELEN au?

Kwa taarifa makini kimakinikia MBITIYAZA ni mrembo namba moja toka JF ianze mnamo February 2006.
 
shoo hukuuona huo uzi! hahaha nilipoteza rafk mmoja akaniambia aisee wewe kumbe men! nikamwambia sepa na ww!haha akajua mie shoga! yaan nimehangaika saana kujitetea! na mpk leo no salam yaan! nilimwambia ina maana wewe na kuishi kwako kote huko maulaya hujui arts za kike! akawa amekomalia nikamchamba akasepa !mxiew
Sijawahi ona huo uzi. Mwandiko wa kike unajulikana, ukiwa man ukapretend hutaweza kwa muda mrefu
 
unajulikana shoga bas pm ilijaa kweli nimeamini humu kuna mashoga uyaan kila mtu anatakakujua km mie shoga fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
hahaha na kwelimie toka 2007 naijua jf ingawa nilikua bado kasichana kadogo kashambaaa! nashangaa jitu kunisingizia ushoga mxiew!
Kumbe bado wewe mbichi.....

Basi kila utakaponiona nipe like tupeane tu warika moja...
 
mwambie atoke Nduki hilo sio eneo salama kwake.

Akute katafuta kwa shida halafu anatoa kirahisi tuuu aloo aisee ila tuache kufanyana mitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja wamchune kwani alifungwa kamba na kuburutwa? Ukute hapo mke kaachwa nyumbani budget yake elfu5 tu Mungu ana muona huyo baba na mchepuko wake[emoji39] [emoji39] [emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom