Kuna jamaa anachunwa pembeni yangu

Kuna jamaa anachunwa pembeni yangu

456b2101711a49e4156620671068df9d.jpg
Wewe Daby jishaue tu......tuache na baby wangu
 
Wakuu,

Nipo bar fulani naangalia taarifa ya habari huku napata na kisichana changu, sasa pembeni yangu amekaa jamaa na msichana wake msichana analia shida kichizi na mchizi anatoa hela, mi mwanzoni nilijua anazo kumbe jamaa kachoka vibaya mno. Kituko kimekuja pale msichana alipoenda washroom.

Jamaa kaanza kupiga simu kwa mchizi wake kuwa anachunwa huku hadi anahisi kulia yani hajielewi na anajuta kukubali kukutana na yule msichana bar, nimetamani nimsogelee nimkanye lakini roho nyingine ikasema ngoja nikuache sipati adabu ili siku nyingine asirudie.

Kila nikimuangalia namuonea huruma ama kweli wajinga ndio waliwao.

Delta Force
Mwambie muudumu awape kinywaji naja kulipa baada ya mechi ya Liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa anayechunwa ana raha sana, sio siri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom