Kuna jamaa anachunwa pembeni yangu

Kuna jamaa anachunwa pembeni yangu

MBITIYAZA KWA HIYO HUYO DADA AMESHAONA KUPIGA VIZINGA NI SEHEMU YA MAISHA YAKE? ATAOLEKA KWELI? JITAHIDI KUMPA USHAURI NASAHA ABADILIKE

AU MKUTANISHE NA Sky Eclat NADHANI ATAMSHAURI VEMA.

VINGNEVYO ATAKUWA KAHABA

KUHUSU MTOA MADA
ACHA UMBEA
 
hahahaha watu wana vipaji vyao aisee mie hata kam nauli sina siwez kujiombelesha nitakanyaga hata kwa mguu! jaman

kuna mdada namfahamu nataman nimkutanishe na wanasaikolojia nahakika kbs ana shida sehem! jaman yule dada ana kazi

yake mujarabu analipwa fresh ila akitongozwa jtatu ,jtano anaana kupiga vizinga! imefikia hatua namcontrol asiende

kujiombeleza leza hela anakuambia mbiti mbn siwez! yaan anaweza kukutxt time mbov kuwa anataka aombe hela

!namchambaga haelewi kitu! na anapiga kweli mizinga! mie nahakika ana shida !ile sio normal thngy
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Unanifurahisha wewe Dada hizo mada zako unavyo changia...
 
Wakuu,

Nipo bar fulani naangalia taarifa ya habari huku napata na kisichana changu, sasa pembeni yangu amekaa jamaa na msichana wake msichana analia shida kichizi na mchizi anatoa hela, mi mwanzoni nilijua anazo kumbe jamaa kachoka vibaya mno. Kituko kimekuja pale msichana alipoenda washroom.

Jamaa kaanza kupiga simu kwa mchizi wake kuwa anachunwa huku hadi anahisi kulia yani hajielewi na anajuta kukubali kukutana na yule msichana bar, nimetamani nimsogelee nimkanye lakini roho nyingine ikasema ngoja nikuache sipati adabu ili siku nyingine asirudie.

Kila nikimuangalia namuonea huruma ama kweli wajinga ndio waliwao.

Delta Force
Ww unakuuma mkuu lijamaa hata hulijui .mm kuna jamaangu kabisa rafiki yangu wadam huwa linatoa hela kwa wanawake mpaka roho inaniuma .linaweza kuweka madem hata wanne linawanunulie henes .inakatika hata laki 3 bado anatoa hela kuwapa hata laki 2 .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MBITIYAZA KWA HIYO HUYO DADA AMESHAONA KUPIGA VIZINGA NI SEHEMU YA MAISHA YAKE? ATAOLEKA KWELI? JITAHIDI KUMPA USHAURI NASAHA ABADILIKE

AU MKUTANISHE NA Sky Eclat NADHANI ATAMSHAURI VEMA.

VINGNEVYO ATAKUWA KAHABA

KUHUSU MTOA MADA
ACHA UMBEA



hahahaha hana ndoa ilishayeya! sijui nimwelezeje!tena asipopewa anakuwa mkali balaa na kublock juu watu! kwakweli

ananikeraaaaaaaaa! nimesomaga nae so ni rafiki! namwambia jitahid walau 4 mths !uwiii anakukatia simu anakuambia mie

wewe mbiti siutak ushauri huo! mie tu kumuomba mume hela najihis uzito seuze mtu baki? mie ukinipa napokea lakin

sio kila sk kutxt kulia lia
 
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Unanifurahisha wewe Dada hizo mada zako unavyo changia...


hahaha kwahyo cmment ukweli nipo serious! kuna kipindi nilimwambia subiri bas week 2 alishindwa! ananiboa sema namaga makavu hajui kununa
 
Ww unakuuma mkuu lijamaa hata hulijui .mm kuna jamaangu kabisa rafiki yangu wadam huwa linatoa hela kwa wanawake mpaka roho inaniuma .linaweza kuweka madem hata wanne linawanunulie henes .inakatika hata laki 3 bado anatoa hela kuwapa hata laki 2 .

Sent using Jamii Forums mobile app
Majinga ni mengi sana nchi hii.

Delta Force
 
hahahaha watu wana vipaji vyao aisee mie hata kam nauli sina siwez kujiombelesha nitakanyaga hata kwa mguu! jaman

kuna mdada namfahamu nataman nimkutanishe na wanasaikolojia nahakika kbs ana shida sehem! jaman yule dada ana kazi

yake mujarabu analipwa fresh ila akitongozwa jtatu ,jtano anaana kupiga vizinga! imefikia hatua namcontrol asiende

kujiombeleza leza hela anakuambia mbiti mbn siwez! yaan anaweza kukutxt time mbov kuwa anataka aombe hela

!namchambaga haelewi kitu! na anapiga kweli mizinga! mie nahakika ana shida !ile sio normal thngy
Nakaribia kumalizia kitabu changu. Mwalimu wa mwanamke kwanini hafi?
 
Show me your friends and...................... malizia mwenyewe


'hahaha pole sana !kuna watu ngumu sana kuwatenga kisa tu ni tabia zao mkuu! imagne toka watoto tunasoma nae nije

kumtenga kisa ana tabia za ajabu ajabu! walaa! had nikasema ni kweli ananiboa na anajua sana kuwa ananiboa!

mie nilikua nikiishiwa shule namkumbuka Baba alivyo mtata namute naishi kigumu! akinikumbuka aananitumia ! amekuja nijua baba kuwa mie siwez kuomba hela kwake nimemaliza form4.. frmo there akawa anajiongeza mwenyewe ananicheki! imagne nishindwe kumuomba hela baba mzaz nije nimuombe mtu BAKI ! OVYOOOOOOOOOOOOOO
 
hahahaha watu wana vipaji vyao aisee mie hata kam nauli sina siwez kujiombelesha nitakanyaga hata kwa mguu! jaman

kuna mdada namfahamu nataman nimkutanishe na wanasaikolojia nahakika kbs ana shida sehem! jaman yule dada ana kazi

yake mujarabu analipwa fresh ila akitongozwa jtatu ,jtano anaana kupiga vizinga! imefikia hatua namcontrol asiende

kujiombeleza leza hela anakuambia mbiti mbn siwez! yaan anaweza kukutxt time mbov kuwa anataka aombe hela

!namchambaga haelewi kitu! na anapiga kweli mizinga! mie nahakika ana shida !ile sio normal thngy
Kujiombeleza kama mtu usiyekuwa na utimamu ni kipaji wajina, kwanza mara nyingi huwa nikujidharaulisha tuu. Kuomba ni fedheha lakini kuna baadhi ya watu mishipa ya aibu imefunga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom