Kuna jamaa anachunwa pembeni yangu

Kuna jamaa anachunwa pembeni yangu

hahahaha watu wana vipaji vyao aisee mie hata kam nauli sina siwez kujiombelesha nitakanyaga hata kwa mguu! jaman

kuna mdada namfahamu nataman nimkutanishe na wanasaikolojia nahakika kbs ana shida sehem! jaman yule dada ana kazi

yake mujarabu analipwa fresh ila akitongozwa jtatu ,jtano anaana kupiga vizinga! imefikia hatua namcontrol asiende

kujiombeleza leza hela anakuambia mbiti mbn siwez! yaan anaweza kukutxt time mbov kuwa anataka aombe hela

!namchambaga haelewi kitu! na anapiga kweli mizinga! mie nahakika ana shida !ile sio normal thngy

mwanamke asieomba omba anavutia kumpa tu hela hata bila sababu ya maana,yaani unajikuta tu unatoa hata kama ni kidogo ulicho nacho,
ila wa vizinga loooh, hadi genye zinapotea bana!
 
mwanamke asieomba omba anavutia kumpa tu hela hata bila sababu ya maana,yaani unajikuta tu unatoa hata kama ni kidogo ulicho nacho,
ila wa vizinga loooh, hadi genye zinapotea bana!
uko sahihi sana mkuu by the way namuheshimu sana mwanamke asie niombaomba yani namthamini mno kama ninazo sisubiri nione ana shida namsambazia tu maujanja ya kutosha na kumnunulia vitu anavyopenda au navyopenda nimuone navyo.
ikitokea nime date manzi halafu nikamgundua ana after-money-attitude namchukulia bitch tu so nam treat the same.
 
Mimi ndio nilikuwa nachunwa na Inna
Jana nilimmind kinoma kanichuna afu kagoma kunipa mambo.
Ila ipo siku.
 
Mwache achunwe tu ye si anajifanya pedeshee kwa mwanamke wake msiwe fake jaman huna hela unajifanya una mihela ndio kama yanayomkuta huyo jamaa anatoa hela huku analia lia
 
Wakuu,

Nipo bar fulani naangalia taarifa ya habari huku napata na kisichana changu, sasa pembeni yangu amekaa jamaa na msichana wake msichana analia shida kichizi na mchizi anatoa hela, mi mwanzoni nilijua anazo kumbe jamaa kachoka vibaya mno. Kituko kimekuja pale msichana alipoenda washroom.

Jamaa kaanza kupiga simu kwa mchizi wake kuwa anachunwa huku hadi anahisi kulia yani hajielewi na anajuta kukubali kukutana na yule msichana bar, nimetamani nimsogelee nimkanye lakini roho nyingine ikasema ngoja nikuache sipati adabu ili siku nyingine asirudie.

Kila nikimuangalia namuonea huruma ama kweli wajinga ndio waliwao.

Delta Force
M.wache achunwe maana ndiyo maisha aliyojichagulia
 
Kasichana kako hakajaambulia hata soda?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom