Hebu twende PM kwanza tukazoze!
ni zaramo kwa kabila
Umezidi sana .huoni sikuizi nakaa mezayangu unanitia aibu sana.Aissee ndio umekuja kunisema huku. Hakuna ofa kesho
Hahahahahahahaha.Aissee ndio umekuja kunisema huku. Hakuna ofa kesho
Naona akeondoka kainamisha ndongaAfu jamaa namdai huyo...ebu nistulie 🙂
An ant on the move does more than a dozing ox.
Atakuwa smart 99(joke)Huyo anayechunwa si wa humu jf kweli?,ungemuuliza JF anatumia ID gani? Isije kuwa ni hivi vinavyo turingishiaga mapenzi ya kihindi humu jukwaani
Weka mambo ubaoni PM ya nini mkuu?Hebu twende PM kwanza tukazoze
Za siku mwenyej wangu. Nakumbuka ulinikaribisha um miaka miwili iliyopita[emoji5] [emoji5]mwambie asisahau kuulizia risiti...
ukichunwa dai risiti, ukichuna toa risiti...
Haya mhenga mwenzangu... lala unono.hahahha mhnga mie navuta ugoro hapa nilale! uzee huu!
Haya mhenga mwenzangu... lala unono.
View attachment 567252
Niangalie vizuri kwa karibu mhengahahahaha ewaaa! huyo mama huenda tumepisha vimiaka 4 tu! nakuona mhenga!
Niangalie vizuri kwa karibu mhenga
![]()
Njema kabisa, bila shaka kwako pia...miaka miwili ni muda mrefu ujue kukumbuka IDZa siku mwenyej wangu. Nakumbuka ulinikaribisha um miaka miwili iliyopita[emoji5] [emoji5]
Sent using Jamii Forums mobile app