Kuna jamaa anachunwa pembeni yangu

Kuna jamaa anachunwa pembeni yangu

hahahaha watu wana vipaji vyao aisee mie hata kam nauli sina siwez kujiombelesha nitakanyaga hata kwa mguu! jaman

kuna mdada namfahamu nataman nimkutanishe na wanasaikolojia nahakika kbs ana shida sehem! jaman yule dada ana kazi

yake mujarabu analipwa fresh ila akitongozwa jtatu ,jtano anaana kupiga vizinga! imefikia hatua namcontrol asiende

kujiombeleza leza hela anakuambia mbiti mbn siwez! yaan anaweza kukutxt time mbov kuwa anataka aombe hela

!namchambaga haelewi kitu! na anapiga kweli mizinga! mie nahakika ana shida !ile sio normal thngy
Atakuwa ana pepo la mizinga huyo dada. Mmwagie chumvi ya mawe.
 
hahahaha watu wana vipaji vyao aisee mie hata kam nauli sina siwez kujiombelesha nitakanyaga hata kwa mguu! jaman

kuna mdada namfahamu nataman nimkutanishe na wanasaikolojia nahakika kbs ana shida sehem! jaman yule dada ana kazi

yake mujarabu analipwa fresh ila akitongozwa jtatu ,jtano anaana kupiga vizinga! imefikia hatua namcontrol asiende

kujiombeleza leza hela anakuambia mbiti mbn siwez! yaan anaweza kukutxt time mbov kuwa anataka aombe hela

!namchambaga haelewi kitu! na anapiga kweli mizinga! mie nahakika ana shida !ile sio normal thngy
Mmmhh wewe Toto la kitutsi ndo unafaa kudate
 
hapo thamani yako ndipo ina-elevate & the trend maintains itself,wanawake wengi hawalijui hili ila wachache wanaojielewa hii ndio "a winning atrategy" kama bado hujanisoma niulize.


hahhaa nakupata sana mkuu! kuna kipindi hubby alijua nafake.. alikua ananishangaa sana . sikuwa namuomba hela aisee yaan walaa! aliniambia hajawah ona... siwez aisee!.... sema ndo hvyo penye miti...
 
hahahaha watu wana vipaji vyao aisee mie hata kam nauli sina siwez kujiombelesha nitakanyaga hata kwa mguu! jaman

kuna mdada namfahamu nataman nimkutanishe na wanasaikolojia nahakika kbs ana shida sehem! jaman yule dada ana kazi

yake mujarabu analipwa fresh ila akitongozwa jtatu ,jtano anaana kupiga vizinga! imefikia hatua namcontrol asiende

kujiombeleza leza hela anakuambia mbiti mbn siwez! yaan anaweza kukutxt time mbov kuwa anataka aombe hela

!namchambaga haelewi kitu! na anapiga kweli mizinga! mie nahakika ana shida !ile sio normal thngy

Naweza kuwa msaada kwakee
 
Roho inakuuma pesa zako! Pambana na huba lako [emoji112]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom