Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Kuna nini tena kimetokea Asprin my babu umefanya nini maana naona Daby anaanza huku
Kuna nini tena kimetokea Asprin my babu umefanya nini maana naona Daby anaanza huku
Hapo tutaenda samba mbaHahahaah Curious gal mdogo angu siwez kbs kumvunjia himaya yake! mie mhenga zaman
Heeh makubwaunajulikana shoga bas pm ilijaa kweli nimeamini humu kuna mashoga uyaan kila mtu anatakakujua km mie shoga fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Naona huchezi mbali na fursa.Kumbe bado wewe mbichi.....
Basi kila utakaponiona nipe like tupeane tu warika moja...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anamcheka mwenzie huku naye anachunwa taratibu bila maji ya moto nyani haoni ku..duleeNa wewe hapo labda unachunwa bila kujijua..haka kamchezo bwana hakaitaji hasira..[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni dada angu jamani Daby acha kutugombanisha mwenyewe anajua ninavompendaHahahaah Curious gal mdogo angu siwez kbs kumvunjia himaya yake! mie mhenga zaman
Ewaaaa... kuwa na nidhamu hivyohivyoMie sina neno mama... maana ulishamkubali babu basi nitafanyaje sasa
Hana uwezo huo.......ndo kwanza kila siku tunazidi kupendanaAchana na huyo mfitini... anataka kututenganisha eti...
Ataweza?
Mioyo yetu imeamua kusemezana...Hana uwezo huo.......ndo kwanza kila siku tunazidi kupendana
Huyu babu wangu ni wa kimataifa na yupo vizuri.......vijana wakajipangeMie sina neno mama... maana ulishamkubali babu basi nitafanyaje sasa
Kabisa my sweetheartMioyo yetu imeamua kusemezana...
![]()
Hana uwezo huo.......ndo kwanza kila siku tunazidi kupendana
Huyo nimekuachia kwa amani...
![]()
Vijana wenyewe ndo hawa... mpk wajirembe eti..Huyu babu wangu ni wa kimataifa na yupo vizuri.......vijana wakajipange