Are you ok babe?
Naomba nikuoe...'hahaha pole sana !kuna watu ngumu sana kuwatenga kisa tu ni tabia zao mkuu! imagne toka watoto tunasoma nae nije
kumtenga kisa ana tabia za ajabu ajabu! walaa! had nikasema ni kweli ananiboa na anajua sana kuwa ananiboa!
mie nilikua nikiishiwa shule namkumbuka Baba alivyo mtata namute naishi kigumu! akinikumbuka aananitumia ! amekuja nijua baba kuwa mie siwez kuomba hela kwake nimemaliza form4.. frmo there akawa anajiongeza mwenyewe ananicheki! imagne nishindwe kumuomba hela baba mzaz nije nimuombe mtu BAKI ! OVYOOOOOOOOOOOOOO
Narudia tena... mi ni Babu.hahahahha mie huenda sipaswi kukuita babu ukute tumepishana 2 yrs! 1990 nipo form 4 'mkuu'
Narudia tena... mi ni Babu.
"Mkuu" waite vijana wenzako.
Umesema 1990 ulikuwa form gani? Shule ipi vile?
Clap clap clap.....Janna neno sina wivu
Kumbe enh?hahahaha MBEYA DAY SEC!
Kumbe enh?
Asa mbona una maneno mengi kama mzaramo?
Run run run....
Wewe bila shaka ndo unaechunwaAchunwi bali anatoa msaada.
KUTOA NI MOYO NA SI UTAJIRI....
Sky sweetness nisaidie kidogo puliz kwanini wanaume wakitoa hela sehemu ya anasa wana hisi wanachunwa?nimemiss kuhonga jamaniJanna neno sina wivu