Kuna harufu ya kujuana kwenye balozi zetu

Nadhani unaposema FULANI -kwa maana hii Zitto aachiwe kugombea mbona husemi wamwachie mtu yeyote agombee? Yumkini alikuwa material wakati ule lakini kutokana na watu kumwandama kwa tuhuma hizi na zile wakaona vinginevyo. Sina hakika kama huwa ni bora kumwangalia mtu na kisha kuandika qualifications za kazi....au utaratibu mzuri ni kuandaa Job qualifications kisha ndo unaanza kumtafuta mtu. Endapo option ya pili ni appplicable, wazo lako la Zito linhitaji justification ya kutosha na lazima umlinganishe/umweke kwenye mizania ya watu wengine ndani ya chama hata wale ambao huwa hawatajwi tajwi kwa kuwa mtindo wa sasa unatulazimisha kuwaangalia 'the usual suspect' na matokeo yake tunakuwa na watu wale wale kila nafasi inapojitokeza, maeneo mengine unakuta mtu anavyeo kibao na vingine anawapa wajomba zake....hii inasababisha vijana mahili na wale waliotoka vyuo wenye uchungu wa nchi hii kukosa kazi. Mbaya zaidi, inapelekea jamii/familia zile ambazo hazijawahi kuwa na mtu kwenye ranks za uongozi kupata kazi kweli kupanda. Kwa nini? Hakuna leveled playing field!
Well, waste of time na wacheni kuchafua majina ya walalahoi wanaojitafutia riziki na familia zao, anzieni huko kwenu kwanza mruhusuni Zitto kugombea Uenyekiti ndio mtakuwa na Moral authority on this ishu, hapa mmedata! Chairman Mao alisema No research no right to speak! - Le Mutuz
 
Sio majungu mkuu, ni bora ungeipotezea tu hii thread, kwa sababu mke wako hapo Marekani kazi anayofanya amepewa kwa misingi ya kujuwana, kwa sababu hana sifa wala uwezo wa hiyo post aliyopewa kwa mfumo wa kiubabaishaji. u better shut up ur mouth kabla sijaweka hapa full profile ya mke wako ili wadu waujuwe ukweli.
Nakustahi nakuomba stay out of this thread.
Matola i salute you,unamchelewesha wanini mwaga tu habari zake.
 
Back
Top Bottom