Kuna harufu ya kujuana kwenye balozi zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna harufu ya kujuana kwenye balozi zetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Dec 2, 2011.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuna harufu ya kujuana kwenye balozi zetu

  Katika pita pitayangu kwenye vyombo vya habari nilikuta na kitu kilichonistua kidogo kiasi chakujenga shaka na ajira za watanzania walioko kwenye balozi zetu nchi mbalimbali. Katika matukio mawili kwenye habari nilikutana na majina makubwa matatuharaka haraka. Hii ilinifanya nijiulize: je wapo watoto wa ngapi wa vigogokwenye balozi zetu nje ambapo bila shaka wanalipwa vizuri? Je wameteuliwa aukuajiriwa kwa sifa za kitaaluma au kujuana au vyote?

  Majina makubwa matatu niliyopambana nayo ni kwenye balozi mbili tu yaani ule wa Umoja wa Mataifa naubalozi wa Tanzania nchini Kanada.

  Majina haya ni ya New York Rose afisautawala wa ubalozi mkapa jina la familia ya rais mstaafu Benjamin Mkapa

  Ottawa Canada, Richard tibandebage, afisaubalozi, mtoto wa Balozi wa zamani wa Tanzania nje kwa muda mrefu
  Joseph sokoine,naibu balozi, mtoto wa waziri mkuu wa zamani.

  Salome Sijaonabalozi Japan, Lawi Nangwanda Sijaona alikuwa mmojawapo wa mawaziri wa mwanzo
  Jaka Mwambi nibalozi Urusi huku

  Adadi Rajab nibalozi Zimbabwe
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hivi ni kwanini zaidi ya 80% ya mabalozi wa TZ nje ni wa dini 1
   
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Tafuta wakati muulize anafanya uteuzi.
   
 4. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  Hakuna mtoto wa Mkapa Ubalozi wetu wowote Duniani Mkapa ana watoto Wawili Steve na Nico wapo Bongo, na hawapo Ubalozi wowote hapo Bongo Umekurupuka, nenda Bungeni uone Viongozi wa Chadema na ndugu zao wote ni Wabunge, Halafu uje utueleze hivi Chadema ilibidi Mwenyekiti lazima awe Mkwe wa Mtei tu? Hakukuwa na wengine? Wacheni kuchafua Majina ya watu. - William
   
 5. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  @ NY tatizo si watoto wa vigogo issue ni je wana sifa za kufanya kazi sehemu hizo?? Nenda BoT uone walivyojazana unasemea CDM wa CCM huwaoni? Tena wengine walibebwa wazi
   
 6. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hiyo imeanza lini kama unachoongea ni kweli? Toa takwimu hapa, siyo kuleta tuhuma za kibwege.
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tena hao ni wale waliopitishwa kwenye ubunge lakini walioshindwa walikuwa wengi na wote ni wa familia hizo hizo. Mtoto wa Mtei ndiye alikuwa head wa IT wa Chadema kwenye kampeni za last year.
   
 8. G

  Godwine JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  punguza jazba mwana CUF mwenzetu
   
 9. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  William

  Hoja hujibiwa kwa hoja! The fact kwamba mleta hoja kaona kitu hakuna kosa.....Maana makosa mawili hayawezi kuharalisha kosa. Nina maanisha kuwa uchafu wa kujuana kupewa vyeo hauwezi kuharalishwa simply because CHADEMA au mtu yeyote anafanya hivyo. SOmetimes tunaharalisha uharamia kwa fikra potofu kama ulizoweka hapa za CDM! Beside...haina maana Mkapa lazima awe mtoto wake...aweza kuwa ndugu, mjomba ...baba mdogo na mengine. Hoja hapa ni competence and merits before someone is given kazi...sio kulipa fadhira!
   
 10. e

  elishilia Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  WEWE unadhani kila anaeleta hoja ya kuibua jambo ambalo lina walakini kuhusu maamuzi ya serikali kiutendaji basi yumkini mtu huyo ni wa CHADEMA?shame on u!u can't think and analyze objectively?ur groundless attack on CHADEMA indicates how huwezi kujibu hoja kwa hoja.inaonekana ukiambiwa mtoto wa waziri fulani kakutwa na magendo ya nafaka na kutumia influence ya 'BABA' cha kwanza kufikiri na kujiuliza ili kuchangia hoja ni ''kwani ni mtoto gani wa waziri yeyote kivuli wa CHADEMA nae kakamatwa na magendo yeyote?''ndiyo maana hatuwataki watu waliolelewa na siasa za kulalamika badala ya kufikiri na kuchunguza tatizo halisi ni nini,moja.pili suluhu ni nini.
   
 11. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Lakini si alikua anacolfy kua head wa IT Depermnt?Manake taaluma nyingine bila kua deep =0
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  labda walikua wanamatch ile timu iliyokua inaongozwa na mke, mtoto na maswahiba wa JK waliotumia zaidi ya milioni mia tatu kuchafua watu kwenye mitandao, na hasa vodacom tena wengine sasa wanapewa vyeo kila sehemu kama asante ya uchaguzi hata yule fotoa foto anayebeba picha za **** kwenye mablog ya duniani

  Ukileta hizo mkuu sijui kama utasimama kutetea u-mbopo wako hasa ukijua wazi how communication system mliyoitengeneza ilivyo weak, porous and abused

  BTW, hivi huwa mnafanya nini mkiwa kazini mbona kila kitu kama kipo 12 year back?
   
 13. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,836
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180

  Mwanzoni Nilikuwa Najua Walioweza Kupanda Ndege Na Kwenda Ulaya Wote Wana Akili!! Kumbe Ukweli sio Huo!! Hadi Aibu!! Jibu Hoja Kwa Hoja!! Najua hii inakuhusu sana na Huchomoki!!
   
 14. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  Well, waste of time na wacheni kuchafua majina ya walalahoi wanaojitafutia riziki na familia zao, anzieni huko kwenu kwanza mruhusuni Zitto kugombea Uenyekiti ndio mtakuwa na Moral authority on this ishu, hapa mmedata! Chairman Mao alisema No research no right to speak! - Le Mutuz
   
 15. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  mbona topic inaleta habari za chadema tena?
   
 16. WAFU FM

  WAFU FM Member

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  alianzisha hii mada hakusema watoto au ndugu wa vigogo wa CCM amesma kuna haruf ya kujuana ila umeamua kwa makusud kugeuza story na kua ni CDM v CCM hebu tujaribu kupunguza jazba na kukimbilia kutafuta majibu rahis, any way kuhusu Mkapa kua na watoto wawil na wote wako bongo haimaanish hawez wapgia pande ndugu zake au ishu ni watoto, nilitegemea kijana wa mzee tinga tinga ungesema hao waliopo hapo wanasifa na walipata bila upendeleo wala kimemo kama ilivyokuwa kwa Nyaga John au humjui huyo nae
   
 17. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  Majungu majungu tu!
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  afadhali wewe umesema
   
 19. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Katika hili inafahamika kwamba wewe na familia yako ni wanufaika, kwahiyo haishangazi kukuona ukianza kutokwa na mapovu badala ya kujibu hoja!
  Na kwa uelewa wa kawaida kabisa na hata kwa mtu asiyeishi marekani kama wewe angeweza kuwa na majibu yanayoendana na mashaka ya mleta thread.
  Kwa namna unavyohamisha mashambulizi kuelekea chadema ni dhahiri kwamba hao watoto wa vigogo wanaotajwa ni kweli kwamba walipata hizo kazi kwa kujuana na si kwa merits.
  Na kwakuwa hii nchi ni yetu sote, hatuwezi kuacha kuhoji kila tutakapoona dalili za undugunization. Kama chadema wamebebana katika ubunge hiyo haiwezi kuhalalisha watoto wa wakubwa kubebwa bebwa kila mahali kuanzia BOT, Balozini, MFA, TRA, iKULU,CCM, Chadema na Kwingineko.
   
 20. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Leo umeshikwa pabaya sana kiongozi, umekuwa mkali zaidi ya pili pili ya gujarat!
   
Loading...