Ryaro ryaro
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 378
- 1,168
Ni Ushenzi tu Umeandika.....Aombewe msamaha kwa kuipeleka nchi kwenye uchumi wa kati? Utakuwa huna akili wewe.Nadhani kama taifa hususan vyama vya upinzani vinapaswa kuwaomba msamaha wale wote waliopambana kwa hali na damu kuileta Tanzania bora kama ilivyo mpaka wakati anafariki Dr.Magufuli.Hii itasaidia kuondoa majeraha kwa wale walioumia na kufariki kwake na kuliponya taifa kiujumla dhidi ya laana kwa maneno yao ya kejeli kwa hayati kwani baadhi ya laana hizo zimeshaanza kuonekana.