Kuna haja ya kumuomba Hayati Dkt. Magufuli msamaha; kama taifa kuna sehemu tumekosea sana

Legacy aliyoacha Magufuli ni hii hapa:

1. Kuondoka duniani wakati hahitajiki.

2. Kuteka wapinzani pamoja na wakosoaji wake kama akina Azory Gwanda ili yeye ajihakikishie kutawala milele.

3. Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku kwa kesi fake ambazo hazina dhamana.

4. Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5. Kuua uhuru wa vyombo vya habari.

6. Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.

7. Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.

8. Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9. Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10. Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11. Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12. Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Udini:Alipenda sana kwenda kunadi sera zake za kisiasa makanisani.

14. Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15. Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.

16. Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?

17. Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18. Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19. Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20. Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.

21. Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.

22. Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.

23 Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.

24. Ufisadi na wizi wa kutisha kama ulivyoibuliwa na CAG mara baada ya dikteta kufa.

Huyu mtu kaburi lake linapaswa kufukuliwa na atandikwe viboko.
 
Hiyo serikali yako ya awamu ya tano iliendeshwa na mtu muovu na dhalimu. Panga mbwembwe zote utakazo, lakini ujue Mungu ameamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika fullstop.
 
..ukiwajumlisha azory gwanda, sugu, na wengine, ndio unapata watz milioni 60 walioko mijini na vijijini..
Magufuli mnamuita dikteta, katili, dhalimu, muuaji kwa sababu ya kuwashughulikia ipasavyo mafisadi, wakwepa kodi, wauza madawa, vyeti feki, wafanya kazi hewa, vibaraka wa mabeberu na nk.

kama magufuli mnamuita dikteta kwa sababu ya kuua na kuteka basi kikwete na mkapa ni madikteta zaidi yake sababu wao wameteka na kuuwa watu wengi zaidi yake wakiwa madarakani.
 
Habari wakuu,

Kuna baadhi ya watu maarufu na wasiokuwa maarufu kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakionyesha chuki za wazi dhidi ya awamu ya tano pamoja na viongozi wake. Mbaya zaidi walifika hatua ya kutaka kusahaulisha 'Legacy' na kazi kubwa sana iliyofanywa na awamu ya tano...
Unaonaje ukimfata Mwendazake huko alipo hata sasa hivi?
 
Habari wakuu,

Kuna baadhi ya watu maarufu na wasiokuwa maarufu kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakionyesha chuki za wazi dhidi ya awamu ya tano pamoja na viongozi wake. Mbaya zaidi walifika hatua ya kutaka kusahaulisha 'Legacy' na kazi kubwa sana iliyofanywa na awamu ya tano...
Ningekua na mamlaka ya juu, ningewakusanya Mataga wote kwa siri kwa kisingizio cha kutaka kukutana na nyinyi, halafu ningewapakia kwenye yale malori ya jeshi, na kwenda kuwatupa Mto Kagera ili muwe tu chakula cha mamba.

Kiukweli nyinyi ni viumbe useless kwenye nchi yetu. Magufuli alishawageuza kuwa misukule kitambo! Hivyo hamuwezi tena kuwa binadamu wa kawaida kama sisi.
 
Hivi kumbe siku hizi kumpiga shetani na kazi zake kuna laana? Hili wanaliamini wale Gang tu nafikiri
 
Ningekua na mamlaka ya juu, ningewakusanya Mataga wote kwa siri kwa kisingizio cha kutaka kukutana na nyinyi, halafu ningewapakia kwenye yale malori ya jeshi, na kwenda kuwatupa Mto Kagera ili muwe tu chakula cha mamba...
Hivi hawa ni watu kweli au majini? Mbona muweweseko wao hauishi? Yaani mpaka leo hawaamini kama jamaa hayupo duniani. Halafu wanamchukia Mama Samia sijui ni kwa kosa? Kwa kweli tunaomba ulinzi wa Mungu ana ulinzi wa kawaida uimarishwe kwa huyu Mama. Wanatamani kumla nyama bila hatia
 
Hii tungo ni tata; ulitakiwa uweke quotation marks (" "). ...... "is keeping my mouth shut" OR .............."is to keep my mouth shut". Which is which?
Is your mouth being kept shut by your greatest accomplishments OR the act of "keeping your mouth shut" is the one that you count as a greatest accomplishment?
 
Hii tungo ni tata; ulitakiwa uweke quotation marks (" "). ...... "is keeping my mouth shut" OR .............."is to keep my mouth shut". Which is which?
Is your mouth being kept shut by your greatest accomplishments OR the act of "keeping your mouth shut" is the one that you count as a greatest accomplishment?
 
So ilikuwa haki yale kufa??? Hakuwa kati ya hao milioni 60? Utumbo mtupu! Kamwombe huyo mfu msamaha mwenyewe usitushirikishe ujinga
Wajawazito walian,a kufa toka enzi za kina Yakobo. Na walienfldelea kufa na bado watakufa. Point ni kwa mini watu walikufa na kutwswa bila sababu na wengine kuuawa? Azory gwanda, ackwiline na wengine wengi RIP mwenda zake
 
Mambo gani mi sijui hata moja nachojua nchi haikuwa na uongozi baada ya JK hadi alipopatikana mama Samia
 
Habari wakuu,

Kuna baadhi ya watu maarufu na wasiokuwa maarufu kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakionyesha chuki za wazi dhidi ya awamu ya tano pamoja na viongozi wake. Mbaya zaidi walifika hatua ya kutaka kusahaulisha 'Legacy' na kazi kubwa sana iliyofanywa na awamu ya tano.

Kwa siku kadhaa wakosoaji hao wameshuhudia wimbi kubwa la ujambazi, ubadhirifu, uzembe kwa baadhi ya viongozi, hali ya uchumi kuzidi kudorora, Matumizi mabaya ya rasilimali za umma, hakuna miradi mipya iliyoibuliwa zaidi ya kukamilisha ile ya awamu ya tano na mengineyo mengi ndani ya muda mfupi.

Hakuna uongozi usiokuwa na mapungufu lakini ni wazi kwamba uongozi wa awamu ya tano ulifanya mambo makubwa sana yaliyowagusa Watanzania wa hali zote. Mapungufu ya awamu ya tano yalikuwa na nafuu kuliko mapungufu ya awamu yoyote ile na haya yanaanza kujidhihirisha pia katika awamu hii. Asilimia 100 ya waliokuwa wanapinga juhudi za awamu ya tano japo hawapo tayari kukubaliana na ukweli lakini wengi mioyoni mwao wanajutia na wanatubu baada ya kuanza kujionea utofauti ila wanaogopa kukiri na kuomba msamaha.

Kwa haya machache tunayo kila sababu kama taifa kuwaombea msamaha kwa Mungu na kwa jamii wale wote waliokosoa awamu ya tano kwa nia mbaya ili kuondosha laana ambayo kama taifa itaweza kuipata.
He's gone no way out! Acha wafu wazikane, tushughulike na walio hai tusonge mbele mfu hana msaada wwte maana alipo hana fahamu
 
Mnakosea Sana Kumwombea Msamaha wakati Haukunufaika na Matendo yake yanayokuperekea Kumwombea Msamaa. Wanufaika wote wa Uongozi wake Kwa Mtizamo wangu Wajitokeze wamwombee Msamaha. Msijipendekeze wakati Mliumizwa na Utawala wake. Watanzania ebu tuache unafiki, Unafiki sio sifa.
 
Mnakosea Sana Kumwombea Msamaha wakati Haukunufaika na Matendo yake yanayokuperekea Kumwombea Msamaa. Wanufaika wote wa Uongozi wake Kwa Mtizamo wangu Wajitokeze wamwombee Msamaha. Msijipendekeze wakati Mliumizwa na Utawala wake. Watanzania ebu tuache unafiki, Unafiki sio sifa.
Aombewe msamaha kwa kuipeleka nchi kwenye uchumi wa kati? Utakuwa huna akili wewe.Nadhani kama taifa hususan vyama vya upinzani vinapaswa kuwaomba msamaha wale wote waliopambana kwa hali na damu kuileta Tanzania bora kama ilivyo mpaka wakati anafariki Dr.Magufuli.Hii itasaidia kuondoa majeraha kwa wale walioumia na kufariki kwake na kuliponya taifa kiujumla dhidi ya laana kwa maneno yao ya kejeli kwa hayati kwani baadhi ya laana hizo zimeshaanza kuonekana.
 
Back
Top Bottom