Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,825
- 5,296
Tuwekee video hapaWapendwa. Tujihadhari sana tuingiapo gesti na vimada. Kuna gesti Dar zina cctv. Ukiingia tu na kuanza mchezo wako mhudumu anawaita rafiki zake wakuone unavyofanya huku wakikurekodi. Inasikitisha sana kuona wengi tuliowashuhudia kwenye hizi cctv wanafanya mambo ya ajabu sana. Kulambana sehemu za siri za mwanamke na mwanamme. Kinyume na maumbile ndio karibu kila wawili hufanya na mengine mengi machafu