Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
Acha kutisha watu. We mwenyewe tunakufahamu.Hii ni nchi huru kila mwananchi ana Uhuru wa kutoa mawazo yake. Usisahau ndoo yako tukikutana ukonga.
 
Serikali ya awamu ya tano inayolipa made jumla karibu bilioni 900 kwa mwezi ambayo yameachwa na mzee wa msoga?

Kweli, inawezekana ikafilisika, manake kupe aliyetoka alikua si mchezo....
 
1 wakorinto 1:27-29
27 bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu;
28 tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko;
29 mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu
 
Nimegundua hata sakata la Mchanga wa madini ni dalili ya frustration ama scapegoat ya serikali katika hali halisi ya uchumi.
na hili sakata Mungu atuepushe tu , yasije yakatokea kama yale ya meli ya samaki.
 
Hata Kahama tatizo ni lile lile ingawa tunalipa bili zetu vizuri tu.Najiuliza tatizo ni serikali ama nani?Ina maana hizi bili za maji tunazolipa zinaenda Benki kuu?Mimi nawalaumu Kashwasa kwani wanachukua pesa,halafu wao wanakwepa kulipia umeme
Mkuu hizo mamlaka za maji tutazilaumu tu kwani nao wanatoa huduma kwenye ofisi za serikali kama hospital, magereza, jeshini, polisi nk. Nao hawalipwi madeni yao kisa serikali hijapeleka pesa huko ili nao walipwe?! Wafanyeje sasa? Mfano ni mamlaka ya maji kigoma wanadaiwa na tanesco 1.5 biioni, na wao wanaidai serikari karibu milioni 400!!na hata huko wizara ya maji fungu lao lililopitishwa na bunge limepekwa kiduchu wafanye nini?? Serikali inaendeshwa kwa bajeti iiyoidhinishwa na bunge kwa mwaka husika huwezi kuwa unatoa pesa tu bila bajeti mambo yakaenda sawa. Kwa hili linaloendelea wa kulaumiwa ni serikali kuu.
 
Mkurugenzi wa tanesco kisa cha kutangaza bei mpya ya umeme ilikuwa in kunusuru hali hiyo japo aliwafahamisha wakamgeuka na kumtumbua Leo wanahaha namna ya kuinusuru tanesco na madeni inayoikabili
 
Kifupi tunapoelekea siko kabisa. IMF wamesha itaadharisha serikali ifikapo juni - julai mwaka huu hali ya kiuchumi nchini inaweza kuwa mbaya sana endapo hatua za awali hazitachukuliwa.
Tatizo mkulu kichwa mawe.... hataki kusikiliza ushauri... hata IMF walipotoa hiyo warning, yeye atakuwa amewapuuzia.. sasa kifuatacho ninkufiliisika kabisa....
lakin yeye atatafuta mtu wa kumsingizia... kama kawaida yake.. na kutunga uongo ili aonekane front page..
 
Huyu jamaa mshaur wake n Kagame,upinzan amken kulisemea hl tafadharin,najua niny hamna shda mlisha kiwekeza lkn walowachagua hal zao n mbaya sana,jamaa ananunua bombardier ambazo m2 wa kawaida alokaa toka asubuh mpak jion huko kjjn kumpgia kura hajui faida yake! kawasahau wafanyakaz na hatak kabisa kuwasikia kisa anadhan hawakumpa kura kpnd cha uchaguz make uhakik haujulikan kama umeisha au la analeta hoja ya kusoma il upande daraja kama co wehu huo? wazir kivul wa ajira,kazi na vjana mbona huonesh ukivuli wako wako au nawe n bashite?
 
Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
Yeye hakuna comment anayotoa bila kumtuhumu rais...anaishi kwa matukio tu....hata kma humpendi mtu lkn jamaa huyu BAK yake imekuwa too much.
 
Mkuu hizo mamlaka za maji tutazilaumu tu kwani nao wanatoa huduma kwenye ofisi za serikali kama hospital, magereza, jeshini, polisi nk. Nao hawalipwi madeni yao kisa serikali hijapeleka pesa huko ili nao walipwe?! Wafanyeje sasa? Mfano ni mamlaka ya maji kigoma wanadaiwa na tanesco 1.5 biioni, na wao wanaidai serikari karibu milioni 400!!na hata huko wizara ya maji fungu lao lililopitishwa na bunge limepekwa kiduchu wafanye nini?? Serikali inaendeshwa kwa bajeti iiyoidhinishwa na bunge kwa mwaka husika huwezi kuwa unatoa pesa tu bila bajeti mambo yakaenda sawa. Kwa hili linaloendelea wa kulaumiwa ni serikali kuu.
Tanesco inamilikiwa serikali Idara ya maji pia inamilikiwa na serikali pia sasa inakuwaje wananchi kukosa Huduma hii muhimu ya kupata maji. Leo tunajisifu ni miaka 55 toka tupate uhuru lakini serikali iliyopo madarakani inashindwa kutoa hiyo muhimu tunabaki kutumia milioni 700 kutaka kujua FARU John alikufaje.
Shame on CCM.
 
Back
Top Bottom