Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Ikifika mwisho wataongea tu, na kila mtu atajua. Nakuambia huwezi ukafucha moto, moshi utakuumbua.Ni anguko kubwa sana hili, lakini huwezi kusikia Serikali hii yenye usiri mkubwa ikitia neno.
Ikifika mwisho wataongea tu, na kila mtu atajua. Nakuambia huwezi ukafucha moto, moshi utakuumbua.Ni anguko kubwa sana hili, lakini huwezi kusikia Serikali hii yenye usiri mkubwa ikitia neno.
Na bado.Soko la hisa limeshuka toka Billion 33 mpaka 3
Ulikua na wazo jema,ila mihemko yako imeharibu kila kitu.Tatizo Mkuu ni huyu mtu mmoja ambaye kawajaza woga watendaji wake kiasi cha kushindwa kumwambia kwamba anakoipeleka nchi siko. Hivi baraza lote la Mawaziri likiamua kumvaa huyu dikteta uchwara kwamba nchi inayumba awasikilize washauri wake na aachane na udikteta atafukuza wangapi!? Hivi wastaafu Mawaziri Wakuu na Marais wakijipanga kwenda kuongea naye Ikulu kuhusu nchi kwenda mrama atawafanya nini!?
Kwanini mtu mmoja aachiwe kuiyumbusha nchi kiasi hiki na wale walio karibu yake waamue kukaa kimya kwa kumuogopa!?
Nimeweka kule mkuu, nenda kaangalie.nimekufuata tena huku. Mbona hule ushahidi ujaweka
Akili yako kama hoja yako.Alichokosea ni nini??Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
Hebu weka ushahidi vile malipo yamefanyika au ni story za kwenye vijiwe vya kahawaNi kweli kuna pesa nyingi inatumika kwa ajili ya kumlinda Daud Bashite Mfano jana kamati ya wabunge Dodoma wamepewa pesa nyingi sana, Hosptal hazina dawa viwanda hakuna lakini pesa ya kumlinda Bashite Daudi ipo nyingi sana.
Mashirika ya kimataifa yawalaani Magufuli, Makondanimekufuata tena huku. Mbona hule ushahidi ujaweka
Safi bro unaongea kwa fact sio mtu anaandika tu hana uhakika na akiandikacho wala source ya habari yake haieleweki ametoa wapiSoko la hisa limeshuka toka Billion 33 mpaka 3
.....Soko la hisa limeshuka toka Billion 33 mpaka 3
Iyo 33B yenyewe ni ilikuwa imeshukaSoko la hisa limeshuka toka Billion 33 mpaka 3
Guys... Msifasiri taarifa za kitaalamu kwa mihemko.
United Republic of Tanzania : United Republic of Tanzania: Fifth Review Under the Policy Support Instrument-Press Release; Staff Report
Nimechukizwa sana na meneja Rugemalila yaani watu tunalipa bill effective kila tunakosa maji kisa deni LA umemeHata Kahama tatizo ni lile lile ingawa tunalipa bili zetu vizuri tu.Najiuliza tatizo ni serikali ama nani?Ina maana hizi bili za maji tunazolipa zinaenda Benki kuu?Mimi nawalaumu Kashwasa kwani wanachukua pesa,halafu wao wanakwepa kulipia umeme
Haya mambo yanatia hasira sasa kuna haja gani ya kuweka minamba mikubwa wakati uwezo hakunapesa iliyotolewa kwenye bajeti ya wizara ya kilimo ni kituko.![]()
Uzuri au tatizo ni kuwa hao unaowaita watu wa karibu yake hawaguswi kabisa na mtikisiko huu uliopoTatizo Mkuu ni huyu mtu mmoja ambaye kawajaza woga watendaji wake kiasi cha kushindwa kumwambia kwamba anakoipeleka nchi siko. Hivi baraza lote la Mawaziri likiamua kumvaa huyu dikteta uchwara kwamba nchi inayumba awasikilize washauri wake na aachane na udikteta atafukuza wangapi!? Hivi wastaafu Mawaziri Wakuu na Marais wakijipanga kwenda kuongea naye Ikulu kuhusu nchi kwenda mrama atawafanya nini!?
Kwanini mtu mmoja aachiwe kuiyumbusha nchi kiasi hiki na wale walio karibu yake waamue kukaa kimya kwa kumuogopa!?