God forbid
😂😂😂😂🙌Hili ndio tatizo la watu wa Dar manyunyu kidogo vilio vingi kuona kama wanaonewa
Ajaliyandege inakujaaa mkuuuTujiandae kisaikolojia,hali sio nzuri kwa upande wetu..dalili zimeshaanza kujionesha toka mwaka jana mwishoni.
Mimi sio mtaalam wa mambo ya hali ya hewa..lakini unaweza kuzingatia nilalosema au ukapuuza..
Si ndege ni meliAjaliyandege inakujaaa mkuuu
NioopalewelusumiSi ndege ni meli
Kwa kweli ccm lazima washikishwe nidhamu, wanachowafanyia WaTz hakikubaliki!janga la kwanza la kujitakia ni hiyo tarehe 24 hawa jamaaa lazima washikishwe nidhamu
Labda kama utavuna nyasi, mazao yanaharibiwa na mvua nyingi, mafuriko na maporomoko ya udongo.Hakuna janga wala nini tena mwaka huu ndio mwaka wa mavuno mengi mana mvua zimeanza novemba na tunazo mwaka mzima
Halafu baadae unalalamika sukari 5kjanga la kwanza la kujitakia ni hiyo tarehe 24 hawa jamaaa lazima washikishwe nidhamu