kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,638
- 5,145
Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.
Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.
Jeuri hii ina hasara kuliko faida.
Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.
Jeuri hii ina hasara kuliko faida.