Kuna beef kali kati ya A Town na DSM

Kuna beef kali kati ya A Town na DSM

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,036
Reaction score
168,671
Zamani ilikuwa kwenye hip hop na miziki, kila mji ukidai una wanamuziki wakali kuliko mji mwingine.
Ikahamia kwenye JF Arusha wing wakiwacheka Dar wing kuwa ni waoga kukutana na hawana umoja.
Kukaja bifu la kisiasa, Arusha wanawacheka Dsm eti wamechagua wabunge wawili tu wa upinzani.
Sasa hali imekuwa balaa. Eti Arusha na Dar wanaringishiana mabilionea.....
Jamani hii mwaionaje?
 
Wewe sasa unataka kuleta ***** ***** na uchonganishi.
 
Wengine Vegitarian humu beef hazitufai...humu Makopa on ze air
 
nadhani ni utani wa jadi kama vile simba na yanga, ingawa wengine wanafanya kweli kwenye issue zingine
copy. Asprin
 
Arusha ni kamji kadogo kukalinganisha na Dar unakuwa huutendei haki halmashauri ya ubongo wako.
 
Arusha ni zaidi kwa mabilionea tena wanajionyesha dar wanapeleka majuu kuficha. lakini ar mbona mnawamaliza wote tena kwa mwez mmoja? Au walitupa punje za mahindi kule kwetu.


"
 
Aracuga wako kiuhalisia bana. Acha uko waoga na matigo kibao.Alah
 
Dar nawadis wako kitigo tigo wanaona ndio ubilionea wenyewe. Acheni upuuzi.
 
Arusha kuna barabara mbili tu, na mji wote upo Clock Tower !
 
Dar foleni ya magari hovyo kabisa na hilo lijoto ndio noma kabisa.
 
watoto wa arusha washamba tu. dar mjini wewe.
Cheee! Taba-lai....raia wa chuga wanaishi real life, dar ma copy cat na pretenders tuuu! Vijiwen 24/7 kuanzisha viji camp vya kishimba, kunywa bia moja ucku kucha na kupiga kelele kama vle wamekunywa kreti, madume kwa ukuwadi usipime hasa ukiwa na chapaa ndefu, masharo kwa umatonya had keroooo....
 
Arusha na mabilionaire wao wanaojulikana wakifa
Wananunua mdege za kichina zinazouzwa na serikali laki tano halafu eti wanataka kutua tairi moja kama walivyokuwa wanaendesha pikipiki matokeo yake mti unageuka na kuwa airport
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom