Kuna ardhi zimevimbiwa maovu

Kuna ardhi zimevimbiwa maovu

Mpaka mwaka huu nipo salama kweli ni kwa neema yake na si kwa ujanja wetu....... Maana kwa jinsi nilivyovuruga hivyo viwanja +macheni jumlisha vibanda vya wahaya
Duu mwananyamala kwa wahaya?
 
Kwa macheni kulikuwa na ndugu zangu pale...bas tulikua tunaamka saa 11 asubuh tunachungulia dirishani tunaona malaya wanapita huku wembamba kule wanene wanafanya kazi ya kupigana vijembe tu...na ndo kipindi namuona mr.nice na kampani yake wamelewa chakari
 
Pale ilikuwa madawa ya kulevya yanauzwa hadharan, mabanda ya picha za X, watu wanajiuza bei ya Mwisho 3000 tena Hiyo 3000 bila kinga, dk 10 sh 500. Kulikuwa na madangulo wanapanga kwa siku buku mkiwa kumi chumba kimoja mnamlipa Mwenye nyumba 10000 palikuwa uwanja wa fisi kweli saa moja hukatiz lazima ukabwe. Vibanda vya pombe ya kienyeji na kamali.
duh dk 10 kwa 500/= ! sasa hiyo 3000/= si ndio kukesha kabisa!?
 
Duu mwananyamala kwa wahaya?


mshana naona ulisahau kutoa list yako ya vibanda haramu hapa Bongo, aisee mwambie mkuu wa mkoa aingilie kati vile vibanda vya wahaya pale M'nyamala......ile ni zaidi ya kwa Macheni na Mango garden, yaani ni dizaini ya Sodoma na nduguye Gomora.
 
Huyu ndo macheni mwenyewe?? Huyo kinyaiya ni shoga na kuna mwana flani maskani m'nyamala alikuwa anamkaza af anakuja kutupigia stori, mwanzon tulikuwa tunambishia tunaona km anatupanga c ndo siku akampigia simu kumuuliza amkute wapi akambandue asee
Kumbe hii Dunia inamambo mengi machafu ambayo hayapaswi hata kusimulia!
 
Mwananyamala kwa wahaya iko sehem gani wakuu nna route ya Dar mwezi december
 
Back
Top Bottom