Kuna ardhi zimevimbiwa maovu

Kuna ardhi zimevimbiwa maovu

Masakuu kuna siku nilikuwa napita sielew issue zinazofanyika usiku, mida ya saa Mbili nimebanwa na haja ndogo nikasema acha niingie hapa nijistir, Nimevaa kistara naingia watu wananishangaa nikaenda counter akanielekeza toilet nikaenda, nilipotoka nikawa Najiuliza kwanini wamenishangaa Sana sikupata jibu...

Kuna siku nikakatiza mitaa Hiyo saa Saba usiku nakuta machangudoa Kibao halafu kulikuwa na ugomvi defender limepak, kuuliza wale niliongozana nao Ndio wakaniambia hapa ni masakuu ni maarufu kwa biashara ya "Kuku wa kizungu " Duh nikaunganisha dots nikasema Ndio maana walinishangaa kwa jins niliyokuwa Nimevaa kuingia pale
Kuku wa kizungu ndio akina nani?
 
Nimekaa na tafakuri ya kina nilipoona mabaki ya bar maarufu sana kinondoni iliyobomolewa jana au juzi, bar ya Mango garden
Nikajikuta nakumbuka na viwanja vingine vilivyokuwa na utata wa kutosha kabisa... Magomeni kwa Macheni, Chezi ntemba kinondoni small garden, Ulayaulaya,zote za magomeni,...... List ni ndefu sana ila hizi chache ziko kwenye spotlight na leo hii haziko tena...
Ni bar juu ya ardhi zilizoacha makovu mengi ya magonjwa kama ukimwi, mimba zilizomea na kuzalisha watoto wa mitaani, vyuo vya uchangu kwa mabinti waliopotea step, ushoga kamari wizi utapeli nknk
Miaka ile ya mwishoni mwa 90-2000 vingi nilivyotaja hapa vilikuwa viwanja vyangu.... Mango garden pana mchango mkubwa kwa kushamiri ushoga kinondoni... Vijana walishikishwa kutwa za chooni pale mango na wengine waliandika mpaka namba zao za simu... Haikuwa ajabu kuingia chooni na kusikia mtu anashughulikiwa ama haikuwa ajabu kufuatwa chooni na shoga akikuomba live umkune
Kwa macheni ile bar acha tu ife... Inasemekana huyo macheni mwenyewe alikuwa mteja, yani alikuwa ngangaripoa.. Ulawiti ulikuwa unafanyika wazi chooni na kwenye kona yoyote tulivu.... Kwa macheni watu walikuwa wanashughulikiana huku wamekaa wanakunywa na hakuna mtu alikuwa anashangaa... Kwa macheni ni bar ambayo haikufaa kwenda na mpenzi wako, asipoibwa yeye... Utaibwa wewe.... Mmekaa meza moja mnaangaliana kumbe nyuma yake unakonyezwa na yeye nyuma yako anatongozwa... Na mmoja wetu akiwa banditu ataenda kula ama kuliwa bila mwingine kujua... Vya fasta ndio ilikuwa biashara kwenye gesti zilizozunguka kwa macheni
Gesti hizo haikuwa ajabu kukuta watu wamepanga foleni ya kuingia chumbani na watu wao.. Kule chumba cha kulala kilipatikana kuanzia saa tisa usiku...
Haya ndio yalikuwa maisha ya usiku kwenye hizi bar ambazo zilibebesha ardhi ya mola maovu mengi
Sasa zimebaki story tu za kusimuliwa na kusimulia
Dar sio mkoa salama wa kuishi na familia
 
.
hqdefault-4.jpeg
flesh+easter.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni madhabahu za shetani ....ambazo watu wengi walikuwa wameungamanishwa nazo ,bila wao kujua na walikuwa wanatumikishwa na ukifatiria vizuri lazima utagundua ...hata mwanzo wake wa hizi bar ....kuna makafara yaliwekwa chini ya aridhi.....katika bar hizo

Kwa kufanya kukawa na roho zinazowapumbaza watu na kuwa na kiu sana ya kufanya matendo ya ajabu ajabu

Kila ovu huwa lina mwisho wake imebaki story

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila ovu huwa lina mwisho wake imebaki story
Hizo ni madhabahu za shetani ....ambazo watu wengi walikuwa wameungamanishwa nazo ,bila wao kujua na walikuwa wanatumikishwa na ukifatiria vizuri lazima utagundua ...hata mwanzo wake wa hizi bar ....kuna makafara yaliwekwa chini ya aridhi.....katika bar hizo

Kwa kufanya kukawa na roho zinazowapumbaza watu na kuwa na kiu sana ya kufanya matendo ya ajabu ajabu

Kila ovu huwa lina mwisho wake imebaki story

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa macheni ilikuwa ni homa ya jiji,pembeni kuna hotel ya ghorofa kadhaa hivi inaitwa Bondeni hotel pale ni nyoko,biashara zote za kimafia zilifanyika pale kisha laana zote za kulana wao kwa wao zilifanyika pale,acha Mungu aitwe Mungu maana ana huruma ya ajabu,kwa upande wa mbagala mpaka kesho masakuu bado inaendelea na ukitaka kujua maisha ni magumu pitia masakuu utawakuta wadada wamepanga foleni wengi na bei ni 5000 kushuka chini,,na ile bar ya mashoga iliyoungua moto njia panda ya kwenda charambe kwa sasa imehamia huku uwanja wa zakhem maarufu kama ghorofani hapo kwa sasa ni balaaa tupu!!!
Ukipita utaona ni bar ya kawaida mchana ila yanayofanyika huko juu ni balaa tupu machangudoa kibao +mashoga gharama zao ni bia 2 au 3000 mpaka tano na chumba ni 5000 huko ghorofani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...duuh kwahyo kuungua kwa hyo bar hawa michicha mibwa washakosa maskani au ndo ardhi za zambi dasilamu ni nyingi
 
Unaenda kumzika Chris upareni au siku hizi umejiunga na jeshi maana hata ndani ya JF umekuwa kama watalii
Umri ndugu yangu na majukumu yamekuwa mengi.. Chris gani katutoka?

Jr
 
Back
Top Bottom