Kuna ardhi zimevimbiwa maovu

Kuna ardhi zimevimbiwa maovu

Uchafu wa pale Mungu pekee ndio anajua, watoto walikuwa wanauza mpaka jero... Halafu ni wadogo kweli lakini mambo yao mmmh
Pale ilikuwa madawa ya kulevya yanauzwa hadharan, mabanda ya picha za X, watu wanajiuza bei ya Mwisho 3000 tena Hiyo 3000 bila kinga, dk 10 sh 500. Kulikuwa na madangulo wanapanga kwa siku buku mkiwa kumi chumba kimoja mnamlipa Mwenye nyumba 10000 palikuwa uwanja wa fisi kweli saa moja hukatiz lazima ukabwe. Vibanda vya pombe ya kienyeji na kamali.
 
Wachacheee Tuliobaki Salama wengi mazingira yaliwaharibu Mm binafsi makuz yangu Asilimia 90 nimekulia sehemu za uswahilini zile zilizoshindikana Namshukuru Mungu Nipo Salama.
Mkuu ni neema kwa hakika maana yale mazingira ukibahatika kuyajua na kuyapitia afu usalimike ujue kuna kitu umeshagraduate
 
Zimebaki na zitabaki story
DSC03138.JPG
aunt Abuu nadhani huyu... Mojawapo wa mashoga waliotikisa kwa macheni kipindi hicho
 
Mkuu ni neema kwa hakika maana yale mazingira ukibahatika kuyajua na kuyapitia afu usalimike ujue kuna kitu umeshagraduate
Acha tu Sema binafsi sikuyapenda mazingira nikawa busy shule au madrasa home unashinda mara moja ndicho kilichosaidia na wazaz Wangu walikuwa wakali wazazi wengine hawana muda watoto wakitoka shule kwenye mabanda ya video huko
 
Mwenyez Mungu atunusuru badala ukifa watu wakukumbuke kwa mema unakumbukwa kwa maasi na muhurumia marehemu macheni.
Akiwa na Ben Kinyaiya
werawera+146.jpg
wote hawa kwa nyakati tofauti walituhumiwa ushoga
BTW sikujua kuwa Macheni is no longer ⚰ Rip
 
Nimekaa na tafakuri ya kina nilipoona mabaki ya bar maarufu sana kinondoni iliyobomolewa jana au juzi, bar ya Mango garden
Nikajikuta nakumbuka na viwanja vingine vilivyokuwa na utata wa kutosha kabisa... Magomeni kwa Macheni, Chezi ntemba kinondoni small garden, Ulayaulaya,zote za magomeni,...... List ni ndefu sana ila hizi chache ziko kwenye spotlight na leo hii haziko tena...
Ni bar juu ya ardhi zilizoacha makovu mengi ya magonjwa kama ukimwi, mimba zilizomea na kuzalisha watoto wa mitaani, vyuo vya uchangu kwa mabinti waliopotea step, ushoga kamari wizi utapeli nknk
Miaka ile ya mwishoni mwa 90-2000 vingi nilivyotaja hapa vilikuwa viwanja vyangu.... Mango garden pana mchango mkubwa kwa kushamiri ushoga kinondoni... Vijana walishikishwa kutwa za chooni pale mango na wengine waliandika mpaka namba zao za simu... Haikuwa ajabu kuingia chooni na kusikia mtu anashughulikiwa ama haikuwa ajabu kufuatwa chooni na shoga akikuomba live umkune
Kwa macheni ile bar acha tu ife... Inasemekana huyo macheni mwenyewe alikuwa mteja, yani alikuwa ngangaripoa.. Ulawiti ulikuwa unafanyika wazi chooni na kwenye kona yoyote tulivu.... Kwa macheni watu walikuwa wanashughulikiana huku wamekaa wanakunywa na hakuna mtu alikuwa anashangaa... Kwa macheni ni bar ambayo haikufaa kwenda na mpenzi wako, asipoibwa yeye... Utaibwa wewe.... Mmekaa meza moja mnaangaliana kumbe nyuma yake unakonyezwa na yeye nyuma yako anatongozwa... Na mmoja wetu akiwa banditu ataenda kula ama kuliwa bila mwingine kujua... Vya fasta ndio ilikuwa biashara kwenye gesti zilizozunguka kwa macheni
Gesti hizo haikuwa ajabu kukuta watu wamepanga foleni ya kuingia chumbani na watu wao.. Kule chumba cha kulala kilipatikana kuanzia saa tisa usiku...
Haya ndio yalikuwa maisha ya usiku kwenye hizi bar ambazo zilibebesha ardhi ya mola maovu mengi
Sasa zimebaki story tu za kusimuliwa na kusimulia
Mungu aliisha walaani kuanzia mwenye bar had anaefanya hivyo vitendo.
 
Back
Top Bottom