kadovela
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 471
- 679
kuna nyakati pepo la kupenda machangudoa kama liliniandama nashukuru huku mikoani kwetu hakuna madanguro. ila dar kuna viwanja hatari. kuna bar huko buguruni malapa yaani unaingia michangudoa inakutazama hadi unajistukia na kuna wanaume wamekaa kihasara sijui ni mishoga ile dah