Kuna ardhi zimevimbiwa maovu

Kuna ardhi zimevimbiwa maovu

Sawa mkuu.Niko maeneo hayo
Masakuu kuna siku nilikuwa napita sielew issue zinazofanyika usiku, mida ya saa Mbili nimebanwa na haja ndogo nikasema acha niingie hapa nijistir, Nimevaa kistara naingia watu wananishangaa nikaenda counter akanielekeza toilet nikaenda, nilipotoka nikawa Najiuliza kwanini wamenishangaa Sana sikupata jibu...

Kuna siku nikakatiza mitaa Hiyo saa Saba usiku nakuta machangudoa Kibao halafu kulikuwa na ugomvi defender limepak, kuuliza wale niliongozana nao Ndio wakaniambia hapa ni masakuu ni maarufu kwa biashara ya "Kuku wa kizungu " Duh nikaunganisha dots nikasema Ndio maana walinishangaa kwa jins niliyokuwa Nimevaa kuingia pale
 
Hahahah pole mkuu tatzo hukujua masakuu ndo pako hivyo njia ya kuelekea toilet kwa mbele ndo unakuta wamejazana kiasi kwmba ukitoka tu toilet watu wanajua umetoka kufanya service kumbe smtym unakuta mtu hata wazo huna,kuna pale round about ya kuelekea chamaz kuna ka bar kaliunguaga na moto panyewe ni maarufu kwa mchicha mwiba napitaga naona
 
Sasa pale pembeni yake kuna dar live.Ule ukuta wa dar live kulikuwa na vibanda vya kuuza bia na kitimoto.Pale walikuwa wanaanza kujiuza saa moja usiku.Kuna siku nilipita kwenye huo uchochoro nilivutwa hadi shati likatoka vifungo.
Ila kwa sasa pamebomolewa na kuna frames za biashara
 
😀😀😀😀😀😀😀 ilipoungua watu walikimbia watupu nasikia
 
Sasa pale pembeni yake kuna dar live.Ule ukuta wa dar live kulikuwa na vibanda vya kuuza bia na kitimoto.Pale walikuwa wanaanza kujiuza saa moja usiku.Kuna siku nilipita kwenye huo uchochoro nilivutwa hadi shati likatoka vifungo.
Ila kwa sasa pamebomolewa na kuna frames za biashara
Napafaham pale
 
Hahaha pale ilikuwa zamani siku hz nawasiwasi na vile vibanda vya pale pembeni na hosptal ya zakhem
 
Back
Top Bottom