Wazungu wameharibu akili za wengi kwa kukariri bila kufikiri. Simfahamu huyu anayeongelewa wala siwezi kutoa maoni yangu kama anaweza au la. Nitachangia kufuta ujinga wa kudhani kuitwa Dr. Lazima upitie shule zenye mfumo wa wazungu. Nitatoa mifano miwili tu. Hakuna hospitality yeyote inaweza kutibu jino zaidi ya kung'oa au kuziba. Waafrika nje ya mfumo wa wazungu wanatibu hata leo. Mkoa wa Tanga leo hii kuna watu wanaunganisha mifupa iliyovunjika na hospitali zikawaandikia kuikata maana hawawezi kuiunga. Jukwaa hili nina uhakika lina wapo wanaoweza kukiri haya.Hawa waitweje?
Mimi huwa sikubaliani sana na waganga wa mitishamba. Lakini si kwa sababu wanavaa makoti am kujiita kama unavyolalamika.
Utabibu siyo kuvaa makoti ishengom. n awala siyo kujjita jina au kupata degree. Utabibu ni uwezo wa kutibu wagonjwa na kuwafanya warejee katika afya yao sahihi.
Nilitegemea ungesema juu ya utendaji wake wa kazi kwamba anayosema anayafanya hafanyi. Ungetuambia kwa research kwamba umebaini hana uwezo wa kusaidia tusema matatizo ya uzazi ila anaongopa. nk nk. Au ungetuambia anayofanya ni scientifically disapproved AU ina madhara makubwa kwa mgonjwa kwa namna moja ama nyingine, au ungesema hafuati ethicks za tiba kwa abc.
Lakini ukisema anavaa makoti, anajitngaza, bila sababu za msingi, unaonyesha wivu wa kijinga. Matangazo ya makoti yanakuathiri nini wewe kwenye taaluma yako ama wateja wake?
Pengine labda kama hujui, tiba mbadala imepanda kasi baada ya hao unaowaita medical dr kuprove failures. Wemebaki na hayo makoti, na mashine za kupimia watu shingoni lakini hakuna tiba. Mtu yuko diabetic na wanajua halafu wanamtundikia drip za glucose. Hao ndio wanamwuliza mgonjwa anataka aandikiwe dawa gani wakati yeye hata anachosumbuliwa nacho hakijui zaidi ya maumivu; Hao wanaoitwa mgonjwa kazidiwa wodini wanasema "nisubiri nitakuja" halfu wanatoroka au kusema subiri dr wa zamu ijayo yeye muda wake umekwisha. Hao hao wanaotaka wapewe rushwa ili mgonjwa apate huduma za karibu n.k. Hao wanao prescribe wrong medicines and dose kwa wagonjwa wanaend up kufa, hao wanaoona wagonjwa ni tatizo badala ya ajira.
Wangeonyesha competitiveness kwa uhai wa wagonjwa, bila shaka watu wasingehangaika na tiba mbadala. Huji ni kwa kiasi gani imesaidia watu kipindi chote ambacho hakuna serikali. Ninamshauri regulator kuwawekea mazingira mazuri zaidi ya kazi na kuwapa support inayotakiwa ili huduma zao ziwe bora zaidi ili Watanzania wasife kwa kutegemea makoti.
WIVU WAKO WA KIJINGA USIOKUWA NA HATA SCIENTIFIC REASONS BAKI NAO KWENU.
TENA UMENIUDHI KWA SABABU KAMA VILE NAKUONA ULIVYOVIMBA ETI KWA KUWA NAYE ANAVAA MAKOTI MEUPE. UPUMBAVU. MASUALA YA KITAALAM HAYABISHANWI KIPROPAGANDA ishengom. Ukitenda mema hutapata kibali?
Kuna Isaac Ndido hatajwi hapa sababu ni mgalatia hii nchi ya ajabu sana
Acha mambo ya kimbea mtoto wa kike....ukishaona mtu amefanikiwa basi wew povu linakutoka maisha yako kuwa magumu sio sababu ya wew kukaza mishipa kutaka kuwaharibia wengine maisha yao waliofanikiwa...jitume sio kutokwa povu kwenye mafanikio ya wengine
Hajatumia nguvu nyingi sana.We sema amekukaripia usirudie tena wivuwivu ....wewe na mwenye uzi😀😀:thumbdown::thumbdown:
Doctor kikwete amesoma miaka mingapi ili aitwe dr?
!
Nadhani watu wanachanganya honorary doctorate, medical doctor na doctor of philosophy. Yeyote kati ya hao anatumia title ya Dr. Sasa sijui huyu Mwaka ana uDr upi kati ya hizo ila kama hana hata aina moja basi ni straight forward hafai kutumia title ya Dr. Tusipindishe maneno
mwana haram juu ya mwana haram,
nasema hivi kwa sab nawe na mwanaharam kwel kwel.
Kilichomponza ni ile issue ya kudhamini wimbo wa diamond. ..
Ila kihalali ajiite mganga. ..jina la Dr. Awaachie wenzake.
Pia serikali isimamie afya za watu wake.
Udaktari ni nini?Hapa kuna watu kweli vichwa vyao vigumu ishengom amekuja na hoja ya maana kwanini aitwe doctor? Wakati yeye ni mganga wa kienyeji. Kuwa doctor lazima usomee kwa miaka 4 hadi 8. Lakini mganga wa jadi unapata maelezo ya kienyeji enyeji tu.
Huyu Dr anapiga sana kazi acheni wivu wa kike
Wababaishaji wote mwaka huu mtatumbuliwa akiwepo dokta wako uchwara
Jaman wanajamvi,
Napenda kuuliza huduma za huyu bwana anajiita Dr. Mwaka kwa yeyote aliyewahi kutibiwa naye!Juzi nilimpigia simu akapokea mdada akasema nitume pesa ili huduma!
Je, huduma zake zikoje maana me nna tatizo la kutopata mtoto kwa muda mrefu!