Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

MKUNGA

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
441
71
Habari bandugu

Kuna yeyote mwenye ushuhuda wa ubora wa huduma za FOREPLAN HERBAL CLINIC & NATURAL THERAPIES ipo pale Ilala Bungoni al maaruf kwa Dr. Mwaka.

Anatoa tiba mbadala kwa matatizo ya uzazi na magonjwa ya kinamama.

Mwenye info zaidi anijuze kabla hatujamake decision ya kwenda au la.
 
Mimi mwenyewe cjui, nimeona ktk tv. Inaonesha clinic nyingi za herbal trtment madaktari wake wanaongea sana...to the extent that i wonder if they make good dr.s.
Cha mcng we nenda utapima kwa uhakika mwenyewe. Gd luck
 
Nimetoka kumuangalia mda si mrefu akiojiwa na allen peter kasiga,ngoja wakina mama waje watujuze.
 
Jamani wenye ufahamu juu ya hii clinic atujuze ili tuamue.Tunamatatizo watu humu.
 
Kufungua file shs 10,000 bt hua ana wagonjwa wengi so inabidi kuwahi kwenda ama ukichelewa utakuta watu wengi.
 
Jaman wanajamvi,

Napenda kuuliza huduma za huyu bwana anajiita Dr. Mwaka kwa yeyote aliyewahi kutibiwa naye!Juzi nilimpigia simu akapokea mdada akasema nitume pesa ili huduma!

Je, huduma zake zikoje maana me nna tatizo la kutopata mtoto kwa muda mrefu!
 
Dr mwaka anatibu kwa miti shamba bt suala la kutopata mtoto ni mipango ya mola,umeenda kwa dr kufanyiwa uchunguz?mana kuna uwanja mpana juu ya masuala ya uzaz
 
Mkuu kuna mwana jf mmoja aliwahi kumponda huyu bwana kwamba gharama zake ni kubwa ila mafanikio ni HAKUNA!!
 
Kwa gharama kweli anagharama kubwa san cunajua mtu aliehasle sana akipata upenyo harembi,hospital wamekwambiaje cunajua miti shamba ni hatua za mwsho?
 
Ndugu yangu labda wengine lakini mimi ninao ushuhuda. Hapo nimeteketeza laki kadhaa. Nakushauri uende Mnazi Mmoja umtafute mtaalamu wa matatizo ya akina mama Dr Nathan. Ninaamini atakueleza kitu kinachoeleweka. Kama vipi tuwasiliane.
 
Mkuu wasiliana na mimi utapata mtoto/watoto, nina dawa ambayo haijawahi kushindwa na gharama zipo hivi:
1. Ama unalipa 150,000/= na unapewa dawa yako.
2. Ama unapewa bure dawa ukishapata mtoto unalipa ng'ombe wawili

Chagua option inayokufaa hapo na unipigie au nitumie sms kwenye 0769142586 au niandikie kwenye fadhilipaulo@gmail.com
 
Kizaz kinaweza kua na shida mbalmbal ebu tumshaur mwenzetu aende kuonana na madaktar,unaweza kunywa midawa kumbe ndo unapotea uwezo wa kuzaa,nenda kwa madktar uone tatizo ni nn,huko utafaham kizaz kina shida gan hata hao wa miti shamba watajua specif dawa kulingana na tatizo lilopo mkuu
 
Ndugu yangu labda wengine lakini mimi ninao ushuhuda. Hapo nimeteketeza laki kadhaa. Nakushauri uende Mnazi Mmoja umtafute mtaalamu wa matatizo ya akina mama Dr Nathan. Ninaamini atakueleza kitu kinachoeleweka. Kama vipi tuwasiliane.
Hospitali ya mnazi mmoja? Ile ya serikali au sehemu gani pale mnazi mmoja?
 
Hujachelewa lakini suala la mtoto ni pana Mkuu mfano ni wewe unataka mtoto sasa hujafanikiwa kuna wenye watoto halafu wanakwambia nataka jinsia fulani japo tuliowengi tunaamini mtoto ni zawadi toka kwa Mungu. Akisema anakupa hakuna atakayeweza zuia kamwe cha msingi na muhimu Omba sana Mungu nenda kwa vipimo HOSP lakini pia kuwa makini na vishoka wanaotaka pesa na ahadi za mimba.
 
Nashukuru kwa ushauri hospital nlishaenda kila kitu kiko sawa!Walinipa dawa cha ajabu hata cku zangu cjaziona ni mwezi wa pili sasa na hamna mabadiko yeyote!
 
Back
Top Bottom