Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

Mtu yeyote mwenye tatizo la kubeba mimba ni mgumba

Mimi nimesoma nimeelewa wewe unachong'ang'ania ni asubiri mwaka mzima yeye anakwambia mke wake alikuwa anapata maumivu wakati wa hedhi na akashauriwa hivi na hivi...akaenda kumuona huyo dokta kapewa dawa bahati nzuri kapone(japo hana uhakika kama ni hizo dawa) sasa alitaka aendelee kukaa na maumivu mwaka mzima kisa tu cha huo utaalamu unaosema wewe?

Wewe inavyoonekana hujawahi hata kuongea na mgonjwa na hujui jinsi ya kupembua taarifa ya mgonjwa kujua sababu ya yeye kwenda hospital. Sio kosa lako ila ni vizuri ukajenga tabia ya kukubali kujifunza. Otherwise mtakuwa mnatapeliwa kila siku.
 
kanilia milion tatu zangu mpka leo wife yupo kazi yake kujipodoa tu, nlidhan tatzo nnalo mm nkachepuka kwa mdoogo ake wife ikanasa,,, nkampa pesa asingizie mtu mwngne deal likatick,,wife ndo kukimbilia kwa huyo tapel sina hamu nae tena na wife alvomzur yule cjui kama hakumuingizia kikojolea chake mwana haramu huyu
cc tapel Mwaka
maguful
 
Naona hatuelewani kwani alikosea kwenda huko?

Ishu ya jamaa haikuwa kwenye ugumba kama wewe unavyosema ila ni maumivu aliyokuwa anapata, sasa nimekuuliza ungemshauri aendelee kuvumilia maumivu mwaka mzima?

Maswala ya kuibiwa unasema wewe, mimi sijawahi kwenda huko na sina mpango...alafu kwanini umeng'ang'ania mwaka mzima...hata angeenda baada ya huo mwaka kama alikuwa na tatizo alikuwa na tatizo tu haibadilishi kitu hata angekaa miaka kumi...suala katibiwa kapona hiyo ndo ishu ya muhimu

BTW:nimejifunza pia kwa bandiko lako kuhusu kukaa mwaka mzima lakini kama atakuwa hapati maumivu
 
Sijui kama ni kweli au LA. Mimi na mke wangu tulioana na tulikaa miezi 8 bila wife kushika mimba, wife alikuwa anapata maumivu makali sasa siku za hezi mpaka homa so madokta walitushauri azae ili tatizo liishe lakini hakushika mimba. Tulikuwa tunamsikia huyu Dr kwenye TV basi tukafunga safari mpaka kwake. Hatukumkuta yeye ila tuliwakuta wasaidizi wake, wife alipimwa na kukutwa na tatizo la kuto kubalance kwa hormone na kuwa na viuzibezibe kwenye mirija ya uzazi vinavyopelekea mayai yake kuwa weak na kutokuwa na mpangilio maalumu wa hedhi na yenye maumivu. Aliambiwa ni ngumu yeye kupata mimba bila matibabu. Alipewa dawa aina 12 akazitumie kwa miezi 10 ila pindi akihisi tu dalili za mimba asimame kutumia dawa Mara moja. Alitumia zile dawa kwa masharti aliyipewa kwa miezi 3 tu mimba ikanasa. Aliacha kutumia zile dawa, mimba ikakua, akajifungua na sasa mtoto ana mwaka mmoja. Tafakuri yangu, inawezeka dawa za Dr mwaka zimesaidia au ni mpango wa mwenyezi mungu au yote mawili kwa pamoja. All in all namwachia muumba.

Yawezekana Dokta Alikusaidia KUKUKANYAGIA Mkeo Ila Wewe Kwa UPOPOMA Wako Ukadhani Ni Ile Mizizi Ya Sungura Aliyompa Mkeo Aitumie. Chezea Dr. YEAR Wewe!
 
Naona hatuelewani kwani alikosea kwenda huko?

Ishu ya jamaa haikuwa kwenye ugumba kama wewe unavyosema ila ni maumivu aliyokuwa anapata, sasa nimekuuliza ungemshauri aendelee kuvumilia maumivu mwaka mzima?

Maswala ya kuibiwa unasema wewe, mimi sijawahi kwenda huko na sina mpango...alafu kwanini umeng'ang'ania mwaka mzima...hata angeenda baada ya huo mwaka kama alikuwa na tatizo alikuwa na tatizo tu haibadilishi kitu hata angekaa miaka kumi...suala katibiwa kapona hiyo ndo ishu ya muhimu

BTW:nimejifunza pia kwa bandiko lako kuhusu kukaa mwaka mzima lakini kama atakuwa hapati maumivu

Tatizo la mitandao ya kijamii ndio hili. Every Tom, Dick and Hurry anajifanya mjuaji.

Haya endeeleeni kudanganyana na mayai yasiyo na nguvu na vipimo vya hormones vya vichochoroni. Story za dawa ya mirija iliyoziba ndio mnazofurahia.

Sikio la kufa halisikii dawa...
 
Whatever, mimi sishabikii hiyo ishu ya dokta mwaka tunajadiliana vitu vingine kabisa inavyoonekana wewe ndo unatatizo na huyo dokta mwaka anyway asante pia kwa elimu yako
 
kanilia milion tatu zangu mpka leo wife yupo kazi yake kujipodoa tu, nlidhan tatzo nnalo mm nkachepuka kwa mdoogo ake wife ikanasa,,, nkampa pesa asingizie mtu mwngne deal likatick,,wife ndo kukimbilia kwa huyo tapel sina hamu nae tena na wife alvomzur yule cjui kama hakumuingizia kikojolea chake mwana haramu huyu
cc tapel Mwaka
maguful

Kuuliza KUCHAPIWA Kwa Mkeo au Demu Wako Na Dkt ( FEKI ) YEAR Ni Sawa Na Kuuliza VIFO Na MAPIGANO KunakoUkanda Wa GAZA.
 
Whatever, mimi sishabikii hiyo ishu ya dokta mwaka tunajadiliana vitu vingine kabisa inavyoonekana wewe ndo unatatizo na huyo dokta mwaka anyway asante pia kwa elimu yako

Kwanza kumuita dokta itself ni utapeli.

Ni kweli kuwa nasikitishwa na utapeli wake na nikipata fursa najaribu kuwaelewesha watu.
 
kanilia milion tatu zangu mpka leo wife yupo kazi yake kujipodoa tu, nlidhan tatzo nnalo mm nkachepuka kwa mdoogo ake wife ikanasa,,, nkampa pesa asingizie mtu mwngne deal likatick,,wife ndo kukimbilia kwa huyo tapel sina hamu nae tena na wife alvomzur yule cjui kama hakumuingizia kikojolea chake mwana haramu huyu
cc tapel Mwaka
maguful

mwana haram juu ya mwana haram,
nasema hivi kwa sab nawe na mwanaharam kwel kwel.
 
kanilia milion tatu zangu mpka leo wife yupo kazi yake kujipodoa tu, nlidhan tatzo nnalo mm nkachepuka kwa mdoogo ake wife ikanasa,,, nkampa pesa asingizie mtu mwngne deal likatick,,wife ndo kukimbilia kwa huyo tapel sina hamu nae tena na wife alvomzur yule cjui kama hakumuingizia kikojolea chake mwana haramu huyu
cc tapel Mwaka
maguful

pole mkuu.
 
Kashatopmba huyo mganga mwaka usiulize.na kama mkeo mtam next time atamtpmbea zanzibar
 
Nilikuwa nafatilia kuhusu huyu anayejiita dr mwaka...kumbe hajasomea n mganga wa kizushi wa mitishamba...mimi nilidhani ni gyncologistie the way anavyojitangaza,inatia hasira sana medicine inachukuliwa kirahisi rahisi tu...
 
Sasa wewe unatakaje? na anayo Leseni ya kufanyia kazi yake?Na Serikali ndio iliyompa?
 
Mzizi mkavu, hawa wanaojiita dr na wakati hawana degree ni kosa tena anakwenda mbali zaidi n kujitangaza anatibu ugumba...yani st?rilit? huo n uwongo hii ni profession..ina ethics zake ...kaoata wapi dheria ya kumfanyia mgonjwa examen gyncocologique ...mana hii inahusisha kumvua nguo mwanamama kwa ajiri y check up,tena anavaa koti la kidaktari kuwahadaa watu...mana asiyejua akiona kavaa koti anajua ni proffession doctor kumbe sio...hilo ndo ttzo langu..serikali iwawekee mipaka hawa watu
 
Kapewa leseni na serikali ya kufanya tiba mbadala na analipa kodi, wewe nini kinakuwasha? Kuna wanaomuamini na kupona huku wengine wakiliwa, as long as analipa kodi na watu wanajipeleka wenyewe sio kwa kulazimishwa sina tatizo nae. Bora yeye kuliko waganga wanaochafua miji kwa matangazo kila kona na kodi hawalipi

Dr mwaka, Dr ndodi, Prof Jay ni title za kisanii tu
 
Kwanza ujuwe ni nini maana ya mtu kujiita doctor? kisha hapo utakapo juwa ndipo utasema zaidi.......
 
Kapewa leseni na serikali ya kufanya tiba mbadala na analipa kodi, wewe nini kinakuwasha? Kuna wanaomuamini na kupona huku wengine wakiliwa, as long as analipa kodi na watu wanajipeleka wenyewe sio kwa kulazimishwa sina tatizo nae. Bora yeye kuliko waganga wanaochafua miji kwa matangazo kila kona na kodi hawalipi

Dr mwaka, Dr ndodi, Prof Jay ni title za kisanii tu

Hii n kwa maslahi ya taifa...kuna watu wamesomeshwa n taifa hili n wanajua hayo yafanywayo sio sawa ,huyu jamaa ni tapeli kulitumia jina la dr kwa matumizi yasiyo sahihi hatuwezi fumbia macho....unachukulia piwa kwa vile wewe huzai ..ila kwa wanawake hii ni serius issue
 
Back
Top Bottom