Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

Wanaume ni wagumu sana kutoa hela hata mkishawishiwa namna gani! you are too reasoning!!
 
Cku izi watu wameongeza maarifa, kwaiyo ukiona wamelala usiogope kuchuna hata km unaharibu utaja tubu dhambi taratibu, mana kuitwa mwenye heri kwa sasa si kuwa mwema ktk vitendo balo kuja kuanza kutoa misaada mingi baada ya kuharibu nyuma na hapa ndipo panaitwa #Bongoland

Hii...imenifurahisha naameshaanza....kutoa misaada ikiwemo mashindano ya Mpira wa miguu nch hii inawatu waajabu sana
 
Kwahiyo Yeye Hakutaka Ku Specialize Koooooooooooote Na Akaona Abobee Tu Ktk Kuwatibu Jinsia Ya KIKE? Duh! Basi Jamaa Kalenga Kweli.

Asa chaajabu nini?? mbona kuna madaktari wa watoto peke yao.,wakinywa, wa moyo pia mifupa??
 
Mi nilimpeleka mke wangu nimepigwa laki tatu na wife tatizo bado,,,had nikampeleka kwa kairuki

Na Usishangae Alimbandua Pia Bao Hizo Hizo Tatu! Anyway Pole Lakini Kwa Kuuguliwa Na Shemeji Yetu Kama Vipi Mlete Nimpe GENTAMYCINE.
 
Ni tapeli tu.......hamna tofauti na babu wa loliondo.

Anatumia udhaifu wa watu kutokuwa na elimu na mambo ya tiba na afya kupiga hela.
 
Halafu hawa wanaojiita madaktari wa tiba asili na matunda sijui nini, wanazidi....Mbaya zaidi soko lao lipo kwa wanawake....

Hawana tofauti na Babu wa Loliondo au yule dada anayejiita sujui Rahabu na dawa yake ya vidonda vya tumbo Fiterawa..
 
Wp Dr ndodiiiii....
Hii nchi ushindwe mwnyw kupig hla yn mmmh!
Kila kitu huru
 
we baki ukijiuliza tu, oh doctor sijui wa wanawake tu, wakati mwenzako anapiga pesa ndefu. MD yako inakusaidia nini kama bado umejaa chuki na unaendekeza majungu?
 
Ukitaka usife njaa mjini jishugulishe nakinamama. Mfano; kutibu magonjwa yakinamama, kuuza nguo zakinamama, urembo wakinamama.
 
Hata makanisani wanaoanguka kwa mapepo ni wanawake.
Fuatilia utaniambia.
 
Back
Top Bottom